Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Haha actually I do, and I real like but umri unanitupa mkono 😀😀Hahahahha Depal do you love dancing?
Akili yangu imekwama hapo kwenye... Ting'a ring'aring shabaranksii kapuyy kapuyy ...........
Aahahahahhaaa nimevuta picha hivyo ulivyo kwenye avatar yako na ulivyovyaa unacheza huo wimbo aaahahaahhaaa
Vidume vitajikuta vinagombania kuswing pembeni yako tuu.
Well back to the topic, it's all about feeling good. Hii itakuwa na uzi wake.
Mwenzako licha ya kufungua huu uzi hapa na sijamtaja kwasababu maalum, Ila nilishamwambia huko na huko tunakowasiliana. Nnakatabia kangu hako, nikiwa na kitu na nnanfasi nakisema bila kukikawiza mradi tuu kisiwe na madhara kwangu wala kwa mhusika.
Can't wait for that thread " it's all about feeling good" nije kushusha ma experience 🏃 thoe it needs courage to express out some of our feelings binafsi siwezi, niko na aibu kiasi (kuna baadhi ya feelings kuziwasilisha inakuwaga ngumu eeh
Hata huyu crush sikuthubutu hata PM ya salamu, kila nikijaribu nashindwa naishia kufuta nilichoandika then kuzima data na kuweka simu kando.