kweli sa hvi nimeinvest kwenye no string attached chini ya udhamini wa kongoshosi hiyo tu, nafikiri coz unajua huyo dada hana anachohitaji hivyo unachukulia kuwa ni sincere. Najua ni vigumu kumtrust mwanaume (after what most of us went thru); unless we can do without them (full independence, madildo, au kubadilisha preference etc) nafikiri ni bora kutrust maana inaleta ladha ya mapenzi zaidi kuliko kuwa mguu mmoja nje mwingine ndani; ofcourse hakuna gurantee kuwa hautaumizwa tena, lakini ni bora kuishi for the moment and let tommorow take care of itself; enjoy it while it last.
Ai weeeee we Kooooongosho nifanye nini walau utumegee hiyo story
kongosho bwana naona unavorembua macho hapo loh...:embarrassed1::embarrassed1:Naskia aiiibu siwezi hata tizama laptop tena.:embarrassed1::embarrassed1:
wewe unapenda kudanganyika yumy?
kweli sa hvi nimeinvest kwenye no string attached chini ya udhamini wa kongosho
sitaki pressure tena
I love your signature dear!
kweli sa hvi nimeinvest kwenye no string attached chini ya udhamini wa kongosho
sitaki pressure tena
Hata kidogo na uzuri unakuja pale ninapojitambua kuwa sijapendeza halafu mtu anakumwagia masifa ya uongo lol....mimi huwa siwezi kunyama lazma niulize sasa nimependeza na nini hapa???!!!
Kama ulivyosema kioo kipo kwahiyo hata nikipendeza najua pia kama ambavyo nikichukiza najua...LOL
ndo option iliobaki kwangu free stress zoneDoes it work, l tried it lakini haikufanya kazi kwangu. Experience is a good teacher though, itumie kwa muda then utaona mwenyewe.
wewe mdau kwenye hicho chama dear?Big up!
Daughter,sasa your other half atajuaje kwamba zimezidi au la?Na utajuaje kuwa compliments hizi zinatoka moyoni au la?
Macho yako si sawa na ya wengine;
leo nimevaa suit moja, naiona iko okay. Kabla ya hiyo nilivaa one, nikaona imenipendeza sana, lkn nilivua kwa kuwa ina joto sana na imenishika sana. So nilivyoivaa hii, l was just okay, according to me; lakini nimekuja hapa ofisini nimepata compliment 5 (2 from guys and 3 from ladies).
I trust them, lakini mimi sijaifurahia.
mimi kiukweli sipendi kusifiwa na yeyote hata watu wangu wa karibu wanajua labda unikosoe ila kunisifia eti nalook good hatutaelewana kwa kweliHilo nalo neno....ila aiseee mie bado niko pale pale kuna wakati sifa nyingine mtu unajua kabisa hapa napakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
wewe mdau kwenye hicho chama dear?
teh teh aya bwana nikupe mmoja?Ndio nataka kujiunga.....naanda barua ya maombi hapa. Hizi kazi za kuajiriwa zinachosha sana,kila siku ratiba ile ile inachosha lol
teh teh aya bwana nikupe mmoja?
mmh mi nimemshindwa kanitolea bastola kisa naongea na simu sijui hajui principles za hili game?Nipe tu mshirika kwa kuanzia......ila umtaarifu kabisa masharti na vigezo kuzingatiwa,asije akataka kubanana bureee.
mmh mi nimemshindwa kanitolea bastola kisa naongea na simu sijui hajui principles za hili game?
Hilo nalo neno....ila aiseee mie bado niko pale pale kuna wakati sifa nyingine mtu unajua kabisa hapa napakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.