'...... you'r the most beautful girl/wife...........COMPLIMENTS

Ha ha ha ha ha
Ukienda ukafall kwa NSA sina tiba

Do it at your own risk lol
Nina waive any liability itakayosababishwa na NSA.

huijui while wewe ndo muasisi ?
hicho ndo kitu nimekipata jf kwa kweli
thax a lot
nilijua tu ipo siku nitapata jibu la matatizo yangu hapa
 
Backhanded compliments zipo! Ila hizi mara nyingi tunapeana wenyewe kwa wenyewe (wadada). Kwa wanaume, wanaweza kutucompliment ili kutimiza wajibu (kama mko kwenye mahusiano), na njia ya kupata kitu fulani (kama ndio anakutongoza).

Hivi ni wajibu wao??mie unipe, usinipe wala sijali(hasa kwenye mahusiano). Binafsi I prefer to be complimented by women coz i know they are not trying to get something in return for their compliments:wink2:
Kuna wanaume wanapenda kusifiwa jamani duuuh sijapata kuona!yani utakuta mtu kila saa anataka kusikia u luk gud babe khaaa!!!akiona kimya anauliza kwani ukinisifia utapungukiwa nini? sasa hapo ndio nashindwa kushangaa kwani ni lazima si ni mtazamo tu au?mie siwezi unafiki kwakweli nisamehewe kama hujanishtua napiga kavu tu.
 
Mimi kiukweli ukitaka kuniboa anza kunisifia
mimi kama mtu akiniomba outing sipendi kabias kusikia haya maneno
umependeza...
Una miguu mizuri....
Una macho mazuri..... And the like.....
Wewe niulize tu unataka nini maana najijua nilivo bwana kwani sina kiooo?
Sifa zenyewe za wanaume matapeli wakubwa nyie kwendeni huko
uzuri bongoo?
teh teh teh................................., smile bwana. we mbaya nini? so hata akisema we mzuri unaona kama anakukejeri!!!
 
huijui while wewe ndo muasisi ?
hicho ndo kitu nimekipata jf kwa kweli
thax a lot
nilijua tu ipo siku nitapata jibu la matatizo yangu hapa

Smile hujanijibu, how do you stop your self from loving huyo Friend wako With Benefits (FWB) ambaye hamna strings naye? Mimi hapo ndipo pagumu kwangu. Nipe maujanja huenda nikarudi kule; maana kweli maumivu duh?
 
Kaka Kikungu, come back ujibu swali langu.
Nanyi mnapenda kupewa macompliment? Au yanawaboa kama Daughter Yummy na Smile?
 
mimi moyo wangu ulivojeruhiwa sijui kupenda tena nipo tu kwa kweli
 
Ngoja nimtafute arudi hapa fastaaa kutupatia jibu.
 
Kaka Kikungu, come back ujibu swali langu.
Nanyi mnapenda kupewa macompliment? Au yanawaboa kama Daughter Yummy na Smile?

Kaunga sorry nilikuwa nimebanana kidogo.Mmmh hapo sasa sina jibu la moja kwa moja kwamba tunapenda compliments au la.Kuna thread hapa kuna mtu kajiita yeye handsome basi kazodolewa mpaka basi,te te te te.Yes,nafikiri kama nyinyi wadada wengi mliochangia kuna wengine mnapenda kuwa complimented kama wengine wasivyopenda.Ila kwa sisi wakaka inabidi kuwa careful na kitu unacho-compliment,kwa mfano huwezi kumwambia your other half kwamba your butts are nice na vitu kama hivyo.
 
mimi moyo wangu ulivojeruhiwa sijui kupenda tena nipo tu kwa kweli

Honestly kwa jibu hilo, l dont see you last in that area for long.
Here is a tip, tafuta mtu ambaye yaani humpendi kabisa na hakuna room ya kumpenda (yaani ukikaa naye inakuwa kero) halafu yeye akupende unconditionally. That is ukimuhitaji wewe ndio mnapomeet, yeye akikuhitaji waweza sema No na akakubali (in short awe bushoke fulani). Lkn kungine kote, ni maigizo tu.
 
Kaunga sorry nilikuwa nimebanana kidogo.Mmmh hapo sasa sina jibu la moja kwa moja kwamba tunapenda compliments au la.Kuna thread hapa kuna mtu kajiita yeye handsome basi kazodolewa mpaka basi,te te te te.Yes,nafikiri kama nyinyi wadada wengi mliochangia kuna wengine mnapenda kuwa complimented kama wengine wasivyopenda.Ila kwa sisi wakaka inabidi kuwa careful na kitu unacho-compliment,kwa mfano huwezi kumwambia your other half kwamba your butts are nice na vitu kama hivyo.

Ha ha ha, aisee hiyo ya butts imenichekesha. Lakini kama nayapenda je? LOL
 
Honestly kwa jibu hilo, l dont see you last in that area for long.
Here is a tip, tafuta mtu ambaye yaani humpendi kabisa na hakuna room ya kumpenda (yaani ukikaa naye inakuwa kero) halafu yeye akupende unconditionally. That is ukimuhitaji wewe ndio mnapomeet, yeye akikuhitaji waweza sema No na akakubali (in short awe bushoke fulani). Lkn kungine kote, ni maigizo tu.
ndivo alivo huyo kama unamjua vile
 
Mimi kiukweli ukitaka kuniboa anza kunisifia
mimi kama mtu akiniomba outing sipendi kabias kusikia haya maneno
umependeza...
Una miguu mizuri....
Una macho mazuri..... And the like.....
Wewe niulize tu unataka nini maana najijua nilivo bwana kwani sina kiooo?
Sifa zenyewe za wanaume matapeli wakubwa nyie kwendeni huko
uzuri bongoo?

Lazima Utakuwa demu wa Uswazi tu,unakuja na njaa kabisa,umejiandaa kutia hasara!!
 
Back
Top Bottom