Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,494
ndo option iliobaki kwangu free stress zone
How do you stop your self from falling in love with ur FWB
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo option iliobaki kwangu free stress zone
Thx ma!(uwiiii na assume tu hapa).....nipende na mimi pia basi mpendwa.
Kwa jina lako tu, it is hard not to!
huijui while wewe ndo muasisi ?Yummy, Kaunga na Smile.
No String Attached hata mie siijui, na siiwezi.
huijui while wewe ndo muasisi ?
hicho ndo kitu nimekipata jf kwa kweli
thax a lot
nilijua tu ipo siku nitapata jibu la matatizo yangu hapa
Backhanded compliments zipo! Ila hizi mara nyingi tunapeana wenyewe kwa wenyewe (wadada). Kwa wanaume, wanaweza kutucompliment ili kutimiza wajibu (kama mko kwenye mahusiano), na njia ya kupata kitu fulani (kama ndio anakutongoza).
Yummy, Kaunga na Smile.
No String Attached hata mie siijui, na siiwezi.
teh teh teh................................., smile bwana. we mbaya nini? so hata akisema we mzuri unaona kama anakukejeri!!!Mimi kiukweli ukitaka kuniboa anza kunisifia
mimi kama mtu akiniomba outing sipendi kabias kusikia haya maneno
umependeza...
Una miguu mizuri....
Una macho mazuri..... And the like.....
Wewe niulize tu unataka nini maana najijua nilivo bwana kwani sina kiooo?
Sifa zenyewe za wanaume matapeli wakubwa nyie kwendeni huko
uzuri bongoo?
huijui while wewe ndo muasisi ?
hicho ndo kitu nimekipata jf kwa kweli
thax a lot
nilijua tu ipo siku nitapata jibu la matatizo yangu hapa
Mmmhhh......wewe si ndio bepari mwenyewe!
mimi moyo wangu ulivojeruhiwa sijui kupenda tena nipo tu kwa kweliSmile hujanijibu, how do you stop your self from loving huyo Friend wako With Benefits (FWB) ambaye hamna strings naye? Mimi hapo ndipo pagumu kwangu. Nipe maujanja huenda nikarudi kule; maana kweli maumivu duh?
Kaka Kikungu, come back ujibu swali langu.
Nanyi mnapenda kupewa macompliment? Au yanawaboa kama Daughter Yummy na Smile?
Kaka Kikungu, come back ujibu swali langu.
Nanyi mnapenda kupewa macompliment? Au yanawaboa kama Daughter Yummy na Smile?
mimi moyo wangu ulivojeruhiwa sijui kupenda tena nipo tu kwa kweli
Kaunga sorry nilikuwa nimebanana kidogo.Mmmh hapo sasa sina jibu la moja kwa moja kwamba tunapenda compliments au la.Kuna thread hapa kuna mtu kajiita yeye handsome basi kazodolewa mpaka basi,te te te te.Yes,nafikiri kama nyinyi wadada wengi mliochangia kuna wengine mnapenda kuwa complimented kama wengine wasivyopenda.Ila kwa sisi wakaka inabidi kuwa careful na kitu unacho-compliment,kwa mfano huwezi kumwambia your other half kwamba your butts are nice na vitu kama hivyo.
ndivo alivo huyo kama unamjua vileHonestly kwa jibu hilo, l dont see you last in that area for long.
Here is a tip, tafuta mtu ambaye yaani humpendi kabisa na hakuna room ya kumpenda (yaani ukikaa naye inakuwa kero) halafu yeye akupende unconditionally. That is ukimuhitaji wewe ndio mnapomeet, yeye akikuhitaji waweza sema No na akakubali (in short awe bushoke fulani). Lkn kungine kote, ni maigizo tu.
ndivo alivo huyo kama unamjua vile
Mimi kiukweli ukitaka kuniboa anza kunisifia
mimi kama mtu akiniomba outing sipendi kabias kusikia haya maneno
umependeza...
Una miguu mizuri....
Una macho mazuri..... And the like.....
Wewe niulize tu unataka nini maana najijua nilivo bwana kwani sina kiooo?
Sifa zenyewe za wanaume matapeli wakubwa nyie kwendeni huko
uzuri bongoo?