Youssoph Dabo Atangazwa Rasmi Kocha Mpya Azam FC

Azam wamekosa watu wenye elimu ya kuendesha mpira, wanachanganya elimu ya dini na elimu ya mpira, siku wakijua tofauti ya hizi elimu mbili basi watasonga mbele.
Elimu ya dini inatumikaje pale Chamazi?
 
Kicha ameshindwa kabisa mapema. Kipa mbovu hana uzoefu unamuacha mpaka anawagharimu.
 
Nilikwambia mkuu.

Azam Wana mapungufu kwenye KOCHA na Manager

JEMEDARI ALIWANYOOSHA MNO
Hebu nieleweshe kwenye hoja ya udini ya Azam.
Wakati Azam FC unachukua ubingwa jemedari said ambae ni muislam ndio alikuwa manager.
Je hapo kulikuwa hakuna udini?
Na CEO wa timu alikuwa muislam pia
 
Nimepata fununu kuwa Azam sasa hivi wanamtaka Mgunda, kwa hiyo Dabo atayarishe passport yake iwapo Mgunda atawakubalia.
 
Huyu ana undugu na marehem Amin Dabo?

Kama katoka ukoo huo basi mtegemee kipaji hapo. Azam wamelamba dume.

Nawafahamu watu wa ukoo wa Dabo, wengi tu, niliishi nao majuu huko. Ni koo yenye vipaji sana.

Mmoja wao yupo Unguja anaitwa Adel Dabo:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…