Subiri uone in case wakaifunga Yanga keshokutwa utaona vibe lake.Na wachezaji watajitoa kweli kweli.Sasa ndo maana wanachapika mpaka na Singida pamoja na Pamba
Sio Tamaa Kwenye Pesa Hakuna Tamaa Bali Ni Maslahi Mazuri Zaidi Sasa Kuna Faida Gani Unapambana Wee Mwisho Wa Siku Maslahi Ni Ya Hovyo Hovyo Maisha Ni Yako Zaidi Na Ndio Maana Kila Mmoja Anapambana Na YakeAzam hakuna timu pale. Hata wachezaji kama Fei Toto, ni tamaa tu ya hela ndiyo imewapeleka Azam.
Itakuwa watuchezea akili hawaAzam sijui huwa wanafeli wapi hao mabwenyenye