Messi Lionel
Senior Member
- Jan 11, 2018
- 170
- 159
- Thread starter
-
- #21
Real Madrid🙁Iker Casilas,Robert Soldado, Mariano Díaz Mejía,Luis García,Marcos Alonso (Chelsea),Diego López,(Espanyol),Álvaro Arbeloa(liverpool),José Manuel Jurado(athletic Madrid),Dani Carvajal(Real Madrid),Lucas Vázquez(Real Madrid),Kiko Casilla(Real Madrid),Casemiro(Real Madrid) hao ni Baadhi tu ya uliokuwa hauwajui then unaiweka barca juu ya Madrid , nina hakika mpira umeanza shabiki juzi..bwana mdogo..tena kipindi barca ipo kwenye pick ....hivi unamkumbuka Manuel Sanchís "the sweeper",Vipi Kuhusu Nacho Fernández(real Madrid)...dogo embu kua serious...kwenye vitu vya msingi ushabiki weka pembeni
Dogo hizo source unazoweka kutoka katika mitandao ambayo sio reliable ni sawa na wewe ulivyojiandikia na hivi wajua hizo takwim za mwaka gani na waliweka vigezo gani? ...embu tupia link tukuelimisheMadrid hiyo ya 11View attachment 729732
Source uliyoiweka ni hii Ranking the Best Youth Academies in World Football ambayo ya mwaka 2013 ...embu soma vizuri mdogo wangu...kabla haujakopi na kupasteMadrid hiyo ya 11View attachment 729732
Mimi hapaKina nani imewatoa??
Leta na wewe source zako sio kuandika majina ya wachezaji misukuleDogo hizo source unazoweka kutoka katika mitandao ambayo sio reliable ni sawa na wewe ulivyojiandikia na hivi wajua hizo takwim za mwaka gani na waliweka vigezo gani? ...embu tupia link tukuelimishe
Wachezaji gani misukule hapo ?Leta na wewe source zako sio kuandika majina ya wachezaji misukule
Ha ha ha wewe wanaoi run soccer ya Spain ni products za LamasiaReal Madrid🙁Iker Casilas,Robert Soldado, Mariano Díaz Mejía,Luis García,Marcos Alonso (Chelsea),Diego López,(Espanyol),Álvaro Arbeloa(liverpool),José Manuel Jurado(athletic Madrid),Dani Carvajal(Real Madrid),Lucas Vázquez(Real Madrid),Kiko Casilla(Real Madrid),Casemiro(Real Madrid) hao ni Baadhi tu ya uliokuwa hauwajui then unaiweka barca juu ya Madrid , nina hakika mpira umeanza shabiki juzi..bwana mdogo..tena kipindi barca ipo kwenye pick ....hivi unamkumbuka Manuel Sanchís "the sweeper",Vipi Kuhusu Nacho Fernández(real Madrid)...dogo embu kua serious...kwenye vitu vya msingi ushabiki weka pembeni
Blaza UmemalizaReal Madrid🙁Iker Casilas,Robert Soldado, Mariano Díaz Mejía,Luis García,Marcos Alonso (Chelsea),Diego López,(Espanyol),Álvaro Arbeloa(liverpool),José Manuel Jurado(athletic Madrid),Dani Carvajal(Real Madrid),Lucas Vázquez(Real Madrid),Kiko Casilla(Real Madrid),Casemiro(Real Madrid) hao ni Baadhi tu ya uliokuwa hauwajui then unaiweka barca juu ya Madrid , nina hakika mpira umeanza shabiki juzi..bwana mdogo..tena kipindi barca ipo kwenye pick ....hivi unamkumbuka Manuel Sanchís "the sweeper",Vipi Kuhusu Nacho Fernández(real Madrid)...dogo embu kua serious...kwenye vitu vya msingi ushabiki weka pembeni
kwa uingereza liverpool wana academic nzuri kuliko man u wakina gerald, owen, fowler wote ni matunda ya academic zao pia westhamu ndio walikuwa wana academic bora ambazo zilitoa wachezaji wengi ambao wengi sasa wanatundika daluga, ac milan bado imeendelea kutoa wachezaji bora kama cutrone na donarruma ukija spain raul, torres wote wametoka atretco madrid ni bora ungekaa chini na kufanya upembuzi kabla ya kupost
Ha ha ha wewe wanaoi run soccer ya Spain ni products za Lamasia
Spain national team iliyotisha(triumph) past 10 years kwa ku win World cup ,Euro etc about 75% ni lamasia Cantella muulize Vicente del Bosco
Na style hata ya play ya game yao ni Lamasia (Johan Cruyff) from Ajax....
The way alivyozipanga inastahili kabisa
Sijazungumzia kiushabiki hapa weza inani favor
Haihitaji Degree kutambua mvuta bange anayeongelewa hapa ni wewe.Hakuna team iliyo na academy mbovu kama wavuta bange wa Madrid
Mkuu ungekuwa sahihi kama ungesema na vigezo vilivyo tumika kupanga hiyo orodha.10.SOUTHAMPTON-The Saints
mf..Gareth Bale,Theodor Walcott,Alex Oxlade Chamberlain,Luke Shaw..
09.SCHALKE NULL VIER(04)
Mesut Özil,Julian Draxler,Manuel Neuer,Kevin Prince Boateng..
08.SPORTING CP DE LISBON
Luis Madeira Figo,Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro,Luis Almeida da Cunha(NANI),Joao Fundi Moutinho..
07.BORUSSIA DORTMUND
Mario Goetze,Julian Weigl,Mattias Ginter,Robert Lewandowski..
06.ASSOCIAZIONNE CALCIO MILAN(ACM)-PRIMAVERA
Paolo Maldini,Gennaro Gattuso,Pierre Emerick Aubameyang..
05.MANCHESTER UNITED
Paulo Scholes,Neville Brothers(Phil&Gary),Nicky Butt,David Beckham 7,Marcus Rashford,Paul Pogba,Jese Lingard,Paddy McNair,Fosu Mensah..
04.BAYERN MUNICH-BAVARIANS
Mats Hummels,Philip Lahm,Bastian Schweinsteiger,Toni Kroos,Thomas Muller,Joshua Kimmich..
03.REAL MADRID-LA FABRICA
Raul Gonzalez Blanco(The Prince),Juan Manuel Mata,Alvaro Moratta,Marco Asensio.
02.BARCELONA-LA MASIA
Andreas Iniesta Lujan,Xaví Hernan
dez Creus,Mikel Arteta,Carles Puyol,Sergio Busquets Burgos,Pedro Rodriguez,Francesc Fabregas,Lionel Andrea Messi,Isaac Cuenca,Cristian Tello,Gerrard Pique,Victoraldes..
01.AJAX AMSTERDAM
Clarence Seerdorf,Dennis Bergkamp,Wesley Sneijder,Edwin Van der Sar,Gregor Van der Wiel,Patrick Kluivert...
Ieleweke kuwa Tunaposema Academy Maanake sio lazima mchezaji awe amezaliwa pale, au amekulia pale bali hata akifika akiwa ametoka timu nyingine na umri wake ni mdogo akapitia katika academy hiyo..Basi atahesabika kama mwana academy..
[HASHTAG]#footballaddicted[/HASHTAG]