makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kafanye tafiti upya mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haAcha uzushi.
Johan Cruyff allileta Total Football nasio Tiki-taka. Na spain pamoja wanatumia Tiki-taka.
Luis Aragoness ndie Bosi wa hiyo spanish dominess unayoizungumza. Alivowatumia Xavi na Iniesta kwenye National team hata huko Barca hawakua wakiwatumia ivo. Na ndio sababu baada ya hapo Guardiolla akawaruhusu Ronaldinho na Deco waondoke, na baadae kuwasafisha Toure na Etoo. Alichokiona Xavi na Iniesta wamekifanya ndani ya national team aliamini na pale watawaza.
Silva,Isco, Villa, Senna, Alba, Ramos, Casillas, wote hawajapo katiza La masia. Infact ni XAvi na Iniesta ndio zawadi ya kweli ya taifa La Spain kupita La masia. Ao wengine wote vijalizio tu.