YouTube inalipa ila sio hapa Bongo

Umeona contents zangu??

mimi hata kiingereza sijui mkuu na hela napiga, mwezi uliopita nimepokea $300+ tena hapo baada ya kukwatwa 30% ya USA
YouTube channel yako umeipoint nchi ya USA ndio maana unapata advantage. Suala la YouTube earnings inategemea na nchi/ukanda uliopo pia. yaani, channel yako inapatikana wapi na inatembelewa na watu kutoka wapi.
 
Ndiyo maana nikasema ''you tube inalipa kabisa, ni vile utakavyojua namna ya kuifanyia kazi na settings zake'' japo we locate US sio sio issue saana, kuna earing you tube watu hawazijuagi kabisa, na ndo wanalalamika kuwa hailipi wakati inalipa kabisa
 
Nimekuelewa sana mkuu unaona hawa jamaa wanapiga pesa ndefu kwenye matangazo ya biashara hapa bongo achana na mambo ya Yutube sio mtandao wa kibongo tengeneza mitandao yenu tengeneza platform zenu tafuta wateja wenu mtegemea cha nduguye ufa masikini
 
YouTube channel yako umeipoint nchi ya USA ndio maana unapata advantage. Suala la YouTube earnings inategemea na nchi/ukanda uliopo pia. yaani, channel yako inapatikana wapi na inatembelewa na watu kutoka wapi.
KWAJILI YA WATU WA USA SIO WEWE.
 
Namimi nawezaje kuifanya hii biashara
 
Inasemekana USA, Canada, na UK kule ndio inalipa zaidi; sasa sijajua kwa nini huku kwingine kunakuwa na changamoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…