Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,270
- 2,822
Serikali chini ya Chama Cha Mapinduzi - CCM pamoja na kutunga sheria kali ya mitandao na kuweka udhibiti kwa sheria na kanuni ngumu kwa yeyote anayetaka kuanzisha TV au radio au gazeti, lakini kwa upande wa social media imefeli big time..
Social media kama Youtube, TikTok, Twitter X, instagram, JamiiForums nk ndiyo njia kuu ya kusambaza habari sasa kwa urahisi na kwa kasi isiyo ya kawaida duniani kote..
Elimu ya uraia inayotolewa na kina Tundu Lissu na CHADEMA inaendelea kuenea kwa kasi na kuwatoa wananchi ktk giza totoro la ujinga lililosababishwa na CCM kwa miaka zaidi ya 63 tangu uhuru. Wananchi wameamuka. Muda si mrefu bila shaka hatua kali dhidi ya watawala zitaanza kuchukuliwa na wananchi ili kuirejesha nchi mikononi mwao..
Hali hii kwa ujumla imeleta vurugu na kuchanganyikiwa (confusion) kusikomithilika katika kambi ya adui zao - CCM na serikali yao kiasi cha kupoteana na kuanza kurusha ngumi hovyo gizanI kama wendawazimu. Wanafikiri wafanye nini kudhibiti vuguvugu hili. JIBU NI KUWA, hawana cha kufanya isipokuwa ku swing sawasawa na upepo unavyovuma...!
TV, radio na magazeti hata zenyewe zinategemea habari toka ktk vyanzo hivi...
Pamoja na local TVs kama TBC, ITV, AzamTV, StarTV nk na radio zao kuogopa kurusha na kutangaza habari za CHADEMA, hili halijawa kikwazo hata kidogo kuweza kuyatangaza mageuzi ktk level na viwango vya juu sana..
Harakati za kisiasa za vyama mbadala wa CCM hususani CHADEMA dhidi ya siasa uchwara za CCM zinapata free broadcasting and promotion na kusambaa kwa haraka na kwa kasi ya ajabu katika muda mfupi kiasi cha kuumiza vichwa vya watawala - CCM kiasi cha kujiuliza wafanyeje kuzuia hili na badala yake wao tu ndio wasikike na kuonekana..
Wao wamebaki na sheria zao za kupuuzi kwenye makabati yao zisizoweza kufanya kazi ktk dunia hii ya maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano na habari..
Maana CCM wanaweza kuzuia habari fulani wasiyoitaka wananchi kuisikia kupitia local TVs, radio, blogs, YouTube channels lakini habari hiyo hiyo ikarushwa na YouTube channels ya nje ya nchi na bado watu wakaipata..
Hili linafurahisha..