Kiukweli Mimi ni mwaka wa tatu sasa , sijawah kufungua redio na kusikiliaza kipind chochote kile , ila Niko well informed kuliko hao wanaotegemea redio au tv , tv yenyewe wiki ya pili sasa sjawasha , Sana Sana huwa naangalia safari channel ila nilipogundua wapo very narrow kwenye vipind yaan kila sku wao ni kumuelezea ndege anayeitwa tandawala , nikastisha kuwasha .....
Kama ni movie nadownload mwenyewe tena latest movie , napenda war movie hasa real story za ww2, Ww1, Korean war nk, action pia na movie za kivita za kichina ,
Kwa sasa redio na tv ni zilipendwa , labda tv za mbele huko cse wao wanaenda minute to minute, sio akina Millard ayo anagoogle alaf anakuja kuwaoshea.....