Mshumaa_Tz
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 681
- 2,501
Naomba nisiwe Mnafiki YouTube sio kipimo cha muziki Mzuri.
Naona watu kila siku wanalilia views kuliko kurequest ngoma kweny TV na radio .
Nyimbo ikifanikiwa kupenya kwenye radio za bongo na nje , pia na Television hapo hata sisi tusiokuwa na smart phone nyimbo Tutailewa ...na msanii atapata show mikoani kibao..
Watu kama Nikki mbishi walijifanya awapeleki nyimbo zao radio ...sahivi wamekuwa awasikiki japokuwa uwezo nimkubwa.
Wasanii kama bright , young killer Fid q wamekuwa wakisikika mwaka hadi mwaka sababu ya radio wala siyo YouTube