crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Huu mtandao tumeuvamia kwa mbele hasa kwa wasanii wetu wa afrika specifically hapa bongo.
Tunawafaidisha zaidi wao kuliko tunavyofaidika sisi. Yani msanii unajitapa video yangu ipo namba 1 trending mara ooh "imefikisha views mil 1 kwa siku" wakati unachopata pale hakifiki hata 1% ya pesa uliyowekeza kwenye hiyo video.
nashauri wasanii waweke hata subcription fee kwenye channel zao watu wawe wanalipa hata 300 kwa active subscribers au fans mil. 1 unapata mil. 300 hapo.
inapendeza wasanii wetu kutamba kwa kusema nimetengeneza mil. 300 kwa siku kwenye hii video kama wenzetu huko mbele, washindane kwa pesa sio views ambazo haziwapeleki popote zaidi ya sifa za kijinga tu.
hii itawasaidia wasanii wetu kutengeneza video bora zaidi, ubunifu zaidi,
kuwa na kiburi mbele ya watawala(leo top artists ndani ya taifa wanakatia viuno ccm, aibu kubwa hii),
gharama za kusambaza muziki wetu nje(us na ulaya) na sanaa kuchukuliwa kama kazi ya heshima.
au mnasemaje wadau?