YouTube sio mtandao rafiki kwa wasanii Afrika hasa hapa bongo

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Huu mtandao tumeuvamia kwa mbele hasa kwa wasanii wetu wa afrika specifically hapa bongo.

Tunawafaidisha zaidi wao kuliko tunavyofaidika sisi. Yani msanii unajitapa video yangu ipo namba 1 trending mara ooh "imefikisha views mil 1 kwa siku" wakati unachopata pale hakifiki hata 1% ya pesa uliyowekeza kwenye hiyo video.

nashauri wasanii waweke hata subcription fee kwenye channel zao watu wawe wanalipa hata 300 kwa active subscribers au fans mil. 1 unapata mil. 300 hapo.

inapendeza wasanii wetu kutamba kwa kusema nimetengeneza mil. 300 kwa siku kwenye hii video kama wenzetu huko mbele, washindane kwa pesa sio views ambazo haziwapeleki popote zaidi ya sifa za kijinga tu.

hii itawasaidia wasanii wetu kutengeneza video bora zaidi, ubunifu zaidi,
kuwa na kiburi mbele ya watawala(leo top artists ndani ya taifa wanakatia viuno ccm, aibu kubwa hii),
gharama za kusambaza muziki wetu nje(us na ulaya) na sanaa kuchukuliwa kama kazi ya heshima.

au mnasemaje wadau?
 
Ushauri mzuri sana..

Tabu kubwa inawarudisha nyuma ni wivu.. kutokutaka kuona kila mmoja wao anapata pesa kwa kazi kihalali..

Wakianza hii kwa wingi watahitaji maombi.. wasiharibiane kwa kuripotiana channels zao..

Mashabiki kwa asilimia kubwa nao tabu tupu..
 
Mondi atabaki kuwa mondi, aliona hili lkn bado vichaa wakaendelea kugawa miziki yao bure hadi platform ikafa.

Long live diamond platnumz
 
Mashabiki hawana shida kabisa.

Hawa wanaojiita mapromota bongo wengi ni old school na mambo yao ya kizamani sana plus mbinu zao za toka zama za juma nature.

Em jiulize kule mange kimambi app watu wanalipia sh ngp kupata ubuyu,

Huo ubuyu 50% ni wa wasanii.

Sasa kwa nn isiwepo platform kwa ajili ya kusambaza kazi na updates za wasanii kwa paid subscription na wakaacha kujianika kwenye media uchwara.

Diamond watu hata waseme vp yule jamaa ni kichwa na yuko strategic, aliweza sana kudhibiti taarifa zake kiasi kwamba ili kupata uhakika wa mambo yake fans lazima waende kwenye pages zake na ndo maana numbers zake ziliendelea kukua hata clouds na media nyingine walipomkatia waya na yy akawaambia 'fvck off'
 
Kwani mondo aliweka fee kwa YouTube channel yake?
 
Hakuna mtandao wanalipa vizuri Kama YouTube so unachoongea ufahamu hata process zake acheni ujuaji hivi unafikiri hapa Tz Kuna hela zaidi ya YouTube?
 
Uko sahihi kabisa
 
Youtube ni mtandao ambao ni free ,msanii analipwa kutoka na matangazo yanayokuwa displayed ktk video zake, hauwezi kubadili kwani ni policy ya hiyo kampuni hamna msanii atakaye amua eti ulipe 100 ndio utizame.

Labda awe na platform yake aweke policy zake ila kwa YouTube haiwezekani kama ingekuwa rahisi nahisi USA ndio wangekuwa wa kwanza.
 
Huu mtandao tumeuvamia kwa mbele hasa kwa wasanii wetu wa afrika specifically hapa bongo.

Tunawafaidisha zaidi wao kuliko tunavyofaidika sisi. Yani msanii unajitapa video yangu ipo namba 1 trending mara ooh "imefikisha views mil 1 kwa siku" wakati unachopata pale hakifiki hata 1% ya pesa uliyowekeza kwenye hiyo video.

nashauri wasanii waweke hata subcription fee kwenye channel zao watu wawe wanalipa hata 300 kwa active subscribers au fans mil. 1 unapata mil. 300 hapo.

inapendeza wasanii wetu kutamba kwa kusema nimetengeneza mil. 300 kwa siku kwenye hii video kama wenzetu huko mbele, washindane kwa pesa sio views ambazo haziwapeleki popote zaidi ya sifa za kijinga tu.

hii itawasaidia wasanii wetu kutengeneza video bora zaidi, ubunifu zaidi,
kuwa na kiburi mbele ya watawala(leo top artists ndani ya taifa wanakatia viuno ccm, aibu kubwa hii),
gharama za kusambaza muziki wetu nje(us na ulaya) na sanaa kuchukuliwa kama kazi ya heshima.

au mnasemaje wadau?
YouTube hovyo Sana.
Vievers wa bongo wakifka kuanzia 1M to 5M ni kitu Cha kustaajab.
Ila wenzutu ni uhaba hua hua nashangaa sana nkiona 1billion view
 
Wazo zuri mno ila kuna matatizo kadhaa;

- kwenye swala la subscription fee, wabongo wengi tunapenda mserereko hivyo likija swala la kulipa wengi tutaingia mitini kwenye hizo channel.

- Kuna swala la umaarufu, katika muziki wa kibongo ni wachache sana wenye umaarufu wa kuweza ku command ufuatiliwaji kiasi cha kuweza kutoza, hili litakuwa na athari kubwa kwa wale wasiokuwa maarufu sana.

- Mwisho na kubwa zaidi kuna mamlaka (TRA na BASATA), hawa wamekaa katika kukandamiza zaidi kuliko kuinua vipaji. Wakisikia kuna maslahi makubwa yanapatikana basi wote watashupalia shingo kutaka kubinya kila punje ya faida toka kwa msanii.
 
Hakuna mtandao wanalipa vizuri Kama YouTube so unachoongea ufahamu hata process zake acheni ujuaji hivi unafikiri hapa Tz Kuna hela zaidi ya YouTube?

usivyovijua uwe unauliza.
 
Mashabiki hawana shida kabisa.

Hawa wanaojiita mapromota bongo wengi ni old school na mambo yao ya kizamani sana plus mbinu zao za toka zama za juma nature.

Em jiulize kule mange kimambi app watu wanalipia sh ngp kupata ubuyu,

Huo ubuyu 50% ni wa wasanii.

Sasa kwa nn isiwepo platform kwa ajili ya kusambaza kazi na updates za wasanii kwa paid subscription na wakaacha kujianika kwenye media uchwara.

Diamond watu hata waseme vp yule jamaa ni kichwa na yuko strategic, aliweza sana kudhibiti taarifa zake kiasi kwamba ili kupata uhakika wa mambo yake fans lazima waende kwenye pages zake na ndo maana numbers zake ziliendelea kukua hata clouds na media nyingine walipomkatia waya na yy akawaambia 'fvck off'

yani umeongea ukweli mtupu, yule jamaa angezaliwa marekani yule,angekuwa na ukwasi wa kutisha sana. Tungekuwa tunamuweka level moja na kina jay z.
 
Back
Top Bottom