YouTube videos kugoma kupakua.

YouTube videos kugoma kupakua.

Dr Luu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2016
Posts
489
Reaction score
386
Hello guys,
Leo nimepita pita kwenye YouTube nikajaribu ku-download video kutumia third-party apps bila mafanikio nimekua nikitumia app kama vmate, freemaker nk ila kwa Leo zimenigomea. Kama Kuna mtu anaweza nipa ujanja wakupakua videos huku YT anisaidie.
Natanguliza shukran
 
Naweka Kambi hapa ......

Wakuu mukuje kutupa maujanja tafwadhali...
 
Hello guys,
Leo nimepita pita kwenye YouTube nikajaribu ku-download video kutumia third-party apps bila mafanikio nimekua nikitumia app kama vmate, freemaker nk ila kwa Leo zimenigomea. Kama Kuna mtu anaweza nipa ujanja wakupakua videos huku YT anisaidie.
Natanguliza shukran
Login kwenye YouTube na hiyo 3rd party app Kisha jaribu, natumia SnapTube na inadownload fresh.
 
Back
Top Bottom