Hello guys,
Leo nimepita pita kwenye YouTube nikajaribu ku-download video kutumia third-party apps bila mafanikio nimekua nikitumia app kama vmate, freemaker nk ila kwa Leo zimenigomea. Kama Kuna mtu anaweza nipa ujanja wakupakua videos huku YT anisaidie.
Natanguliza shukran