Youtube yafuta akaunti za R.Kelly

Youtube yafuta akaunti za R.Kelly

Jamaa Talent ni his middle Name...

Yaani Robert Talented Kelly its a shame to end this way na kukumbukwa kwa mabaya..., anyway wengi wangeweza kutenganisha kazi na mwenye kazi kama mimi nadhani ingekuwa poa zaidi

By the way nadhani mkuu unaleta Chai yaani na wewe ulipenda Pacha na Jamaa yako alipenda Pacha mwingine mkadhani ni mmoja !!!! au sijakuelewa mkuu ?
Jamaa anajua sana ila ndiyo hivyo
 
Kwa watu kama sisi ambao hatu-follow mtu bali kazi..., nadhani taendelea kusikiliza nyimbo zake (mtu anaweza kuwa mbaya lakini kazi zake nzuri)

Baniani Mbaya Kiatu chake Dawa...., Kwa ulimwengu kukosa kazi za Robert Kelly itakuwa ni Pigo kubwa sana.... kama vipi aziuze zote kwa wadau fulani ili tuendelee kuburudika....
Acha kabisa Mkuu..
He remains a king to me 4ever..
 
shetani akisha kutumiiiiia akichoka ndio hayo yanayo endelea jamaa kajichimbia shimo mwenyewe.
 
Mtandao wa #YouTube umeondoa Chaneli za mwimbaji R. Kelly ambazo ni RKellyTV na RKellyVevo ukilenga kujitenga na Mwimbaji huyo ambaye amehukumiwa kwa Vitendo vya Udhalilishaji Kingono Mwezi Septemba.

====================

YouTube said it has removed R&B singer R. Kelly's channels from its video platform, distancing itself from the singer who was convicted of sex trafficking last month.

R. Kelly was convicted by a federal jury in September in his sex trafficking trial, where prosecutors accused the singer of exploiting his stardom over a quarter-century to lure women and underage girls into his orbit for sex. read more

Two of his channels, RKellyTV and RKellyVevo, have been removed from one of the world's largest video platforms and the singer will no longer be able to create or own any other YouTube channel, YouTube said in a statement sent late on Monday, following Reuters' request for comment.
Hivi kuna watu wanaojidhalilisha kingono kuzidi hawa mashoga?

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
YouTube wana kiherehere tu, wao hayo masuala ya kesi zake yamewahusu nini na ni masuala ya kimahakama na yalikuepo mahakamani kwenye kesi zake? Dunia imekua ni mifumo ya kijinga sana
 
Wazi kabisa! Michael Jackson mwenyewe alitakiwa azitapike mali zote ashukuru yeye walimtoa kafara tu 😅
Binafsi naona kilichomuokoa MJ ni ile fact kuwa alijinasibisha na uzungu zaidi kuliko weusi, yaani aliukataa weusi na kuufanya uzungu ndio dili.
 
Kwa watu kama sisi ambao hatu-follow mtu bali kazi..., nadhani taendelea kusikiliza nyimbo zake (mtu anaweza kuwa mbaya lakini kazi zake nzuri)

Baniani Mbaya Kiatu chake Dawa...., Kwa ulimwengu kukosa kazi za Robert Kelly itakuwa ni Pigo kubwa sana.... kama vipi aziuze zote kwa wadau fulani ili tuendelee kuburudika....
Kwangu mimi binafsi he's THE FINEST MUSICIAN to ever grace music stages,na hakuna lolote alilo/atakalofanya litakalobadili mtazamo wangu huu!
 
Jamaa Talent ni his middle Name...

Yaani Robert Talented Kelly its a shame to end this way na kukumbukwa kwa mabaya..., anyway wengi wangeweza kutenganisha kazi na mwenye kazi kama mimi nadhani ingekuwa poa zaidi

By the way nadhani mkuu unaleta Chai yaani na wewe ulipenda Pacha na Jamaa yako alipenda Pacha mwingine mkadhani ni mmoja !!!! au sijakuelewa mkuu ?
Actually,he himself IS TALENT!
 
Back
Top Bottom