Youtube yafuta akaunti za R.Kelly

Jamaa anajua sana ila ndiyo hivyo
 
Acha kabisa Mkuu..
He remains a king to me 4ever..
 
shetani akisha kutumiiiiia akichoka ndio hayo yanayo endelea jamaa kajichimbia shimo mwenyewe.
 
Hivi kuna watu wanaojidhalilisha kingono kuzidi hawa mashoga?

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
YouTube wana kiherehere tu, wao hayo masuala ya kesi zake yamewahusu nini na ni masuala ya kimahakama na yalikuepo mahakamani kwenye kesi zake? Dunia imekua ni mifumo ya kijinga sana
 
Wazi kabisa! Michael Jackson mwenyewe alitakiwa azitapike mali zote ashukuru yeye walimtoa kafara tu 😅
Binafsi naona kilichomuokoa MJ ni ile fact kuwa alijinasibisha na uzungu zaidi kuliko weusi, yaani aliukataa weusi na kuufanya uzungu ndio dili.
 
Kwangu mimi binafsi he's THE FINEST MUSICIAN to ever grace music stages,na hakuna lolote alilo/atakalofanya litakalobadili mtazamo wangu huu!
 
Actually,he himself IS TALENT!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…