YouTube Yafuta viewers kwenye wimbo wa Harmonize

YouTube Yafuta viewers kwenye wimbo wa Harmonize

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Mtandao wa YouTube wenye makao makuu yake Marekani. Umefuta baadhi ya viewers kwenye wimbo wa ATTITUDE wa msanii Harmonize aliyo mshirikisha Msanii wa Zamani H. Baba pamoja na msanii wa Lumba kutoka nchini Congo Awilo Longomba.

Utaratibu wa kufuta Viewers hua upo katika mtandao wa YouTube ambapo Robot wake hufuta viewers wanao jirudia rudia. Katika wimbo huo ulipo fikisha viewers 900k Robot walifuta karibu viewers 200k na wimbo kubaki na viewers 700k+.

Lakini wimbo huo bado unafanya vizuri.
 
Back
Top Bottom