luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Sam Chui ni mdau maarufu sana wa Safari za Anga jamaa amesafiri na mashirika ya ndege mbali mbali makubwa duniani.
Ndani ya miezi hii miwili jamaa ame tembelea Rwandair + Kenya airways
Jamaa ameonekana ameponda sana huduma za shirika la KQ kufuatia safari hake aliyo fanya kutokea Kenya ndani ya shirika la.Taifa hilo, ameponda huduma mbovu, ameponda lounge zilizopo pale JKIA, cha kushangaza alipokuwa Rwanda hakuonekana kuponda huduma za Rwandair
Je hii ni marketing Strategy ya Rwandair kuichafua KQ kwa kutumia wadau mbali.mbali.wa safari za Anga wa kimataifa na ma youtuber