Yoweri Kaguta Museveni: We were gaining the grounds of Kampala, lead by Colonel Mahfoudh

Amemuongelea pia Military Atachee wa Msumbiji, inawezekana Mahfoudh utaalamu wake ulihitajika Uganda. Sina uhakika.

I also think so...hata kupelekwa Mozambique, was also a security strategy. Tukumbuke enzi zile adui mkubwa alikuwa kaburu wa SA. Na waliogopa kama wangeweza overrun Mozambique na Renamo wao, adui angekuwa just on the boarder.
I think Col Mahfoudh was still working for the government
 

Interesting names! Col Oyite Ojuk...alikufa kwa ajari ya helicopter wakati NRM wanapambana na Tito Okello.
Ndio mapenzi ya Museveni na Kagame yalipothibitishwa? Just curious!
 
ni wakati sasa JWT wafanye declassification ya habari za vita.
Hii ni changamoto hasa... kwenye kitabu mlinzi wa Mwalimu, hata habari za jaribio la mapinduzi ya 1964 bado ziko classified
Kuna sheria yoyote ya kuruhusu baadhi ya classified information kutolewa nje baada ya muda fulani?
Sijui kwa Tanzania... tatizo hata wa kuuliza hakuna. Ila US wana utaratibu wa miaka 25, 50, 75 na 100. Ingawa kuna nyingine ni forever classified
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....but nothing lasts forever. Pengine tunakosea. Kuna sababu ya kuanza kuandika role models wetu walifanya nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…