Yoweri Mseveni: Marufuku Ngono Ya Mdomoni, Mdomo Ni Kwa Ajili Ya Kula

Aache kuhangaika na mambo ya kipuuzi apambane kufuta umasikini huko Uganda
 
Sasa oral sex tuanyie kwapa? Waganda na watanzania hatuchekani aisee
 
Hivi hiyo marufuku atai-enforce kivipi?! Ina maana kila wakiingia chumbani watakuwa wanaingia na msimamizi wa kuwasimamia! Marufuku zingine ni za kufurahishana tu.
 
Hivi hiyo marufuku atai-enforce kivipi?! Ina maana kila watakakuwa wakiingia chumbani watakuwa wanaingia na msimamizi wa kuwasimamia! Marufuku zingine ni za kufurahishana tu.
Labda mwenza mmoja wapo akikataa na akalazimishwa anakuwa na haki ya kwenda kushtaki kupigishwa blow job
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…