Yoweri Mseveni: Marufuku Ngono Ya Mdomoni, Mdomo Ni Kwa Ajili Ya Kula

Yoweri Mseveni: Marufuku Ngono Ya Mdomoni, Mdomo Ni Kwa Ajili Ya Kula

Mlango ukiufunga halafu ukamwambia mtoto asiingie, ni kama umemtuma afanye kila namna aingie ili aone kilichomo humo wakati mlango ukiwa wazi hatakuwa na shida na hicho chumba .

Sijui hawa viongozi wanapromoti haya mambo kwa makusudi au bahati mbaya???!!

Utafiti ukifanyika kuna ongezeko la watu watakao ingia ktk style hii baada ya marufuku hii ya futuhi
 
Sasa watu wengine sijui wakizeeka wanawaza kwa kutumia nini? Kama haya maneno ni ya Museveni kweli, atapigaje marufuku kwa kitu kinachofanywa kwa faragha? Bora angesema mtu akilazimishwa kufanya hivyo atoe taarifa, hata hivyo swali linakuja akitoa taarifa then what? Kwani sheria za Uganda zinakataza? Au ndio hayahaya mawazo muflisi ya kudhani kauli ya rais ni sheria? Viongozi wa Africa tujifunze kuheshimu sheria na katiba kama unaona kitu hakifai shawishi bunge likitungie sheria sio kuendesha Kwa kupiga marufuku kila jambo rais analoona halipendi.
 
uzee tabu sn.. zuia rushwa ,unazuia vitu ambavy havna tij kw taif!!
 
Marais wanaoshindwa kutatua matatizo makubwa ya nch zao wanakimbilia vitu visivyokuwa na mantiki.
Trump.hakakosea kusema tunachowaza na kuweza ni Ponography muda mote na M7 kathibitisha
 
Nadhani East African presidents kuna kitubinakula akili zao .nataka nisikie implementation ya hiyo marufuku!partner watatakiwa kugegedana hadharani to make sure hajapeana blow job?au watalazimika kurekodi live then submit the clip to the authorite that they had "clean"sex?
What about fingerin and droping breast?Do they mean we gotta do it like animals you wait untill partner is on heat and wham !
Our presidents are disgusting!
 
Mwaka 1961 ndiyo Ulaya ilifuta ushoga kuwa kosa la jinai. Miaka 57 imepita kuna watu wanaishi 1961 bado.
sema miaka ya 60, 61 is too specific na ni uongo. Russia ime-decriminalize homosexuality between consenting males mwaka 1993. Kama ni jambo la kuishi sawa na Ulaya tuanze na mambo ya msingi. Wenyewe wamepitia mengi mpaka kufika walipofika. Alan Turing wa Uingereza aliuliwa 1954 kwasababu ya haya masodoma, sisi hatujaua hata mmoja ila mmetukalia kooni.
 
NAUNGA MKONO HOJA, HIVI MIAFRIKA SIJUI TUKOJE HADI NASHINDWA TUJIFANANISHE NA KITU GANI HAPA DUNIANI?

MAMBO YA KULAMBANA LAMBANA KAMA MMBWA HAYAKUWEPO KABISA ENZI ZA BABU NA BABA ZETU, LAKINI NDIZO ENZI AMBAZO HAZITASAHAULIKA DAIMA KWA KUPATIKANA KWA MAPENZI YA KWELI.

SIRI KUU ILIYOJIFICHA HAPA NI KUWA HATUWEZI KUJIAMINI KIZAZI CHA KUIGAIGA KILA KITU NAKATI KATIKA UHALISIA VIFAA HALISI AMBAVYO MUNGU ALIVIUMBA KUTUMIKA KATIKA KUJAAMIANA VIPO NA WALA HAVINA SHIDA.

SASA WAPI NA WAPI PA1 NA MBWEMBWE ZOTE HIZO ZA KULAMBANALAMBANA NDIYO KWAAAAAAANZA KILA KUKICHA NI HABARI ZA VILIO TELE KILA KONA YA NCHI KWA USALITI WA MAPENZI.

TUJITATHMINI NA KUJIAMINI KWANI SI KILA KITU NI CHA KUIGWA NA HAYO YOTE NI HUKO HUKO NCHI ZA MAGHARIBI NDIPO YALIKOTOKEA KWA KUTUATHIRI KIAKILI WAKITUPATIA PICHA ZA PORNS, VEDEO ZA "X" NA HABARI ZA HAKI SAWA KUMBE NI UPUMBAVU MTUPU ULIOJIFICHA NYUMBA YA PAZIA KWA KUJIFANYA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU WAKIJIVALISHA NGOZI ZA KONDOO KWA NNJE KUMBE ROHONI MWAO NI MMBWA MWITU WA KUPINDUKIA.
 
uzee unamjia vibaya,amejuaje wapenzi wakiwa faragha huwa wanafanya oral sex?
 
Ustaarabu wetu huu hapa
 
Back
Top Bottom