DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Sasa watu wengine sijui wakizeeka wanawaza kwa kutumia nini? Kama haya maneno ni ya Museveni kweli, atapigaje marufuku kwa kitu kinachofanywa kwa faragha? Bora angesema mtu akilazimishwa kufanya hivyo atoe taarifa, hata hivyo swali linakuja akitoa taarifa then what? Kwani sheria za Uganda zinakataza? Au ndio hayahaya mawazo muflisi ya kudhani kauli ya rais ni sheria? Viongozi wa Africa tujifunze kuheshimu sheria na katiba kama unaona kitu hakifai shawishi bunge likitungie sheria sio kuendesha Kwa kupiga marufuku kila jambo rais analoona halipendi.
Trump.hakakosea kusema tunachowaza na kuweza ni Ponography muda mote na M7 kathibitishaMarais wanaoshindwa kutatua matatizo makubwa ya nch zao wanakimbilia vitu visivyokuwa na mantiki.
Chadema inahusikaje ??Kimbelembele wa ushoga ni chadema.
Watakuwa wanatafunwa hao
wewe shoga ebu kuwa na adabu asee!Kimbelembele wa ushoga ni chadema.
Watakuwa wanatafunwa hao
sema miaka ya 60, 61 is too specific na ni uongo. Russia ime-decriminalize homosexuality between consenting males mwaka 1993. Kama ni jambo la kuishi sawa na Ulaya tuanze na mambo ya msingi. Wenyewe wamepitia mengi mpaka kufika walipofika. Alan Turing wa Uingereza aliuliwa 1954 kwasababu ya haya masodoma, sisi hatujaua hata mmoja ila mmetukalia kooni.Mwaka 1961 ndiyo Ulaya ilifuta ushoga kuwa kosa la jinai. Miaka 57 imepita kuna watu wanaishi 1961 bado.
Utakatifu wa kwenye mwanga unaboa sanaEndelea kuliwa tigo kivyako ,usilazimishe na wengine
Aisee! Na wewe unatoa Kinyeo??Mwaka 1961 ndiyo Ulaya ilifuta ushoga kuwa kosa la jinai. Miaka 57 imepita kuna watu wanaishi 1961 bado.
Aliyemruka makonda kwenye vita ya mashoga ni nani? Huyo si ndiye anaunga ushoga?Kimbelembele wa ushoga ni chadema.
Watakuwa wanatafunwa hao
Wewe jamaa sijui una mtindio wa ubongo. Mbona una mambo ya kisengesenge sana?Kimbelembele wa ushoga ni chadema.
Watakuwa wanatafunwa hao
Sasa anataka oral sex ifanyiwe wapi kama sio mdomoni?
Kaongea kinyume kamanisha anus nieneo lakutolea hajakubwa. Hivyo waganda waache tabia yakufilana(ushoga
NAUNGA MKONO HOJA, HIVI MIAFRIKA SIJUI TUKOJE HADI NASHINDWA TUJIFANANISHE NA KITU GANI HAPA DUNIANI?
MAMBO YA KULAMBANA LAMBANA KAMA MMBWA HAYAKUWEPO KABISA ENZI ZA BABU NA BABA ZETU, LAKINI NDIZO ENZI AMBAZO HAZITASAHAULIKA DAIMA KWA KUPATIKANA KWA MAPENZI YA KWELI.
SIRI KUU ILIYOJIFICHA HAPA NI KUWA HATUWEZI KUJIAMINI KIZAZI CHA KUIGAIGA KILA KITU NAKATI KATIKA UHALISIA VIFAA HALISI AMBAVYO MUNGU ALIVIUMBA KUTUMIKA KATIKA KUJAAMIANA VIPO NA WALA HAVINA SHIDA.
SASA WAPI NA WAPI PA1 NA MBWEMBWE ZOTE HIZO ZA KULAMBANALAMBANA NDIYO KWAAAAAAANZA KILA KUKICHA NI HABARI ZA VILIO TELE KILA KONA YA NCHI KWA USALITI WA MAPENZI.
TUJITATHMINI NA KUJIAMINI KWANI SI KILA KITU NI CHA KUIGWA NA HAYO YOTE NI HUKO HUKO NCHI ZA MAGHARIBI NDIPO YALIKOTOKEA KWA KUTUATHIRI KIAKILI WAKITUPATIA PICHA ZA PORNS, VEDEO ZA "X" NA HABARI ZA HAKI SAWA KUMBE NI UPUMBAVU MTUPU ULIOJIFICHA NYUMBA YA PAZIA KWA KUJIFANYA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU WAKIJIVALISHA NGOZI ZA KONDOO KWA NNJE KUMBE ROHONI MWAO NI MMBWA MWITU WA KUPINDUKIA.