Wewe limburula unimpeachable mzigo Rais, atapongeza kadri atakavyoona inafaa. Kupongeza kwa nchi nyingine siyo lazima kwetu. Nyie manyumbu mlikimbia humu baada ya matokeo kubadilishwa na mahakama na mpaka sasa kimoyomoyo mnamlaani Kenyatta kwa kuwaaibisha kwa yote aliyokwisha kuyafanya dhidi ya wapinzani. Furaha yenu ya leo na kushangilia maudlin yanayowatokea wapinzani wenzetu wa Kenya haitwaaacha salama come 2020.Hongera Kaguta kwa kuheshimu diplomasia, ingawa kuna wakati mlipishana na Uhuru kuhusu kisiwa cha Mingori lakini umeonyesha diplomasia ya hali ya juu ili kudumisha ujirani mwema.
Hata kama hatumpendi lakini Wakenya wamemchagua kwa kura za kishindo ndio rais wao kwa miaka mitano ijayo.
View attachment 621183
Hongera Uhuru Kenyatta kwa kuaminiwa tena na wananchi wa Kenya.
Hongera Wakenya kwa kumaliza uchaguzi wenu kwa amani idumisheni amani mliyoitengeneza kwa muda mrefu msikubali mtu mmoja aharibu future ya Kenya.
Hakusema on behalf of Kenyans,but,on behalf of EAC. Magu anajua uchaguzi wenyewe wakupikwa,apongeze haraka nn?Hongera Kaguta kwa kuheshimu diplomasia, ingawa kuna wakati mlipishana na Uhuru kuhusu kisiwa cha Mingori lakini umeonyesha diplomasia ya hali ya juu ili kudumisha ujirani mwema.
Hata kama hatumpendi lakini Wakenya wamemchagua kwa kura za kishindo ndio rais wao kwa miaka mitano ijayo.
View attachment 621183
Hongera Uhuru Kenyatta kwa kuaminiwa tena na wananchi wa Kenya.
Hongera Wakenya kwa kumaliza uchaguzi wenu kwa amani idumisheni amani mliyoitengeneza kwa muda mrefu msikubali mtu mmoja aharibu future ya Kenya.
Shule za kata hizi!! Kuandika kwenyewe hujui!! Na diplomasia nayo huelewi!!Kwan Lowasa na Mbowe wamesha mpa hongera au kuna kifungu chochote kile kimeandikwa magufuri lazima ampe hingera kenyata kwa uchaguzi alio shinda??????