Hongera Kaguta kwa kuheshimu diplomasia, ingawa kuna wakati mlipishana na Uhuru kuhusu kisiwa cha Mingori lakini umeonyesha diplomasia ya hali ya juu ili kudumisha ujirani mwema.
Hata kama hatumpendi lakini Wakenya wamemchagua kwa kura za kishindo ndio rais wao kwa miaka mitano ijayo.
Hongera Uhuru Kenyatta kwa kuaminiwa tena na wananchi wa Kenya.
Hongera Wakenya kwa kumaliza uchaguzi wenu kwa amani idumisheni amani mliyoitengeneza kwa muda mrefu msikubali mtu mmoja aharibu future ya Kenya.