Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sijivunii kabisa kuwa mwafrika , naona aibu sana !Mkuu wa afrika itabidi tujiangalie upya ni wapi tulikosea, huenda Mungu akawafanya maamuzi upya
Kitendo anachofanya Museveni ni dharau kubwa sana kwa wananchi wa Uganda , ni dharau kwa dunia nzima na ni kufuru kubwa sana kwa Mwenyezi Mungu .Afrika inakera sana,uroho wa madaraka inaitesa Afrika kwakweli
Kwani Tanzania nayo tayari mkuu ?Unashangaa nini sasa? Yeye sio wa kwanza.
Burundi, Rwanda na sasa Tanzania.
Hasa eneo la maziwa makuu .Africa BaraGumu
Wewe hujasikia Nkamia katangulizwa kwa wale wana ndiyoooooooo?!!Kwani Tanzania nayo tayari mkuu ?
Dah! Noma kweli !Wewe hujasikia Nkamia katangulizwa kwa wale wana ndiyoooooooo?!!
Unadhani kipi kitamzuia?!