GP
JF-Expert Member
- Feb 5, 2009
- 2,049
- 161
Jamaa nadhani anatengeneza online ndo maana kabana eneo aliko na simu.
na wewe umenivunja mbavu!!, wacha nirudi ndani kupumzika si unajua niko vacation mkuu!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa nadhani anatengeneza online ndo maana kabana eneo aliko na simu.
asalaam mimi ni pc elctrition natengeneza computer yoyote ubovu wowote bei zangu ni nafuu
na wewe umenivunja mbavu!!, wacha nirudi ndani kupumzika si unajua niko vacation mkuu!.![]()
wewe si ulituaga wenda vacation na memsaph??? saa JF wafanya nini tena?? ama tayari mmeanza kuchoshana tayari???? vacation means no Internet no JF! utakuwa kati ya wale wenye addiction mbaya sana!
wewe si ulituaga wenda vacation na memsaph??? saa JF wafanya nini tena?? ama tayari mmeanza kuchoshana tayari???? vacation means no Internet no JF! utakuwa kati ya wale wenye addiction mbaya sana!
Hasa addiction ya JF,ni mbaya mno kiasi kwamba watu wanashindwa kuongea na significant others.... maana kuna thread za kufa mtu humu.
[COLOR=Red said:mrlonely;583517]asalaam mimi ni pc elctrition natengeneza computer yoyote ubovu wowote bei zangu ni nafuu[/COLOR]
Kwahiyo mnataka kuaminisha wasomaji wote hapa jf kwamba cv ndio kitu muhimu kuliko vyote ? Ikiandikwa vizuri tu basi ameula ?