Yu wapi Baby Kabae wa Clouds 360?

Yu wapi Baby Kabae wa Clouds 360?

Mkuu mi namuona anajua mambo mengi.. Sasa ulitaka akunje sura awe na sura kama yako ..??
Labda mambo ya chama na serikali Babie was muziki mwingine bwana..she was so so smart approach ya kuchokoza mada isiyochosha wala kukera,maswali ambayo hayana biazness ya papo kwa papo hiyo kija bint lindi hakuna lolote...
 
Hakuna mtu wa Clouds humu? Hili swali wengi tunataka jibu.
 
Yeye ndo wa kwanza kuwa na hicho kipindi kabla ya Babie..yaani ndo waanzilishi yeye na kina Hudson Kamoga

Huyo Babie watakuwa tu wameshindwana mikataba au kuna ugomvi tu umemfanya asepe..Kusaga naskia habembelezi na kuna staff pia wameliwa vichwa
Sasa Kama n hivyo, mbona kwenye event za clouds hasa za biashara ana host?
 
Yupo Sana 360. Nenda hata kwenye bio yake
Screenshot_20210607-014331.jpg
 
Ni Mkenya, kuna mada yake huku jamaa mmoja naye alidevelop obsession kwake.
 
Back
Top Bottom