Yu wapi Basila Mwanukuzi?

Yu wapi Basila Mwanukuzi?

bibikuku

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2011
Posts
832
Reaction score
496
Jamani wanajamvi nisaidieni mwenye taarifa kuhusu alipo Basila Mwanukuzi, yule demu aliyewahi kushinda Miss Tanzania miaka ya tisini mwishoni yuko wapi kwa sasa na anafanya nini???
 
Jamani wanajamvi nisaidieni mwenye taarifa kuhusu alipo Basila Mwanukuzi, yule demu aliyewahi kushinda Miss Tanzania miaka ya tisini mwishoni yuko wapi kwa sasa na anafanya nini???

hivi unajua maana ya demu ww??

thread zenu zisipochangiwa mnalalamika!!

shit nyoosha lugha yako ikae sawa, sijapenda!!
 
hivi unajua maana ya demu ww??

thread zenu zisipochangiwa mnalalamika!!

shit nyoosha lugha yako ikae sawa, sijapenda!!

Hawa member wanaojoin JF these days I cant understand them....Kuna mmoja ameanzisha thread ati anauliza namnukuu.."Jamani wanaJF mtujuze hivi Nancy Sumari amekwisha totoa? akimaanisha kujifungua" mwisho wa kumnukuu...huu ni uhuni usioweza kuvumilika...Si kwamba nawatenga lakini badilikeni tafadhalini...
 
Jamani wanajamvi nisaidieni mwenye taarifa kuhusu alipo Basila Mwanukuzi, yule demu aliyewahi kushinda Miss Tanzania miaka ya tisini mwishoni yuko wapi kwa sasa na anafanya nini???
basilamwanukuzi-bc.jpg

Kwa taarifa zisizo rasmi ni mama wa nyumbani!
 
Basila kwa sasa ni mjasiliamali anamiliki bonge la salun ya kike pande za victoria na ni mama wa mtoto mmoja
 
Siyo mama wa nyumbani, ndiy mmiliki wa The Look Salon pale Victoria (mjasiiamali wa nguvu). Ana mtoto mzuri wa kiume almost 4 month now. Ana saloni matata you wont regret kuingia na kukaribishwa na tabasamu lake. I love that girl siyo utani. Kamuungisheni jamani, dadaz wote
 
Thanx very much Caroline maana hili ndilo jibu nililokuwa nataka sio porojo za watu wanne wa mwanzo hapo juu. Nitaenda ku-set nywele zangu Jumatano wiki hii maana nitakuwa off kazini! Unaweza kunielekeza vema saluni ilipo ili nisipotee kama natokea upande wa mjini dada.......:help:
 
Kama ukitoka Mwenge pita kituo cha mabasi Victoria kwa mbele kuna kituo msaada karibu na mgahawa wa Anjit unakata kulia kwa mbele upande wa kulia utaona hiyo salon matata sana,mi nilikuwa sijui kama huyo dada ndio Basila ni dada mwembamba mrefu mrembo kweli kitu kimoja hana maringo na hajishaui nafikiri hapo ndio kwao
 
Hashim Lundenga must have the whereabout infos of the past walimbwende.......... Hivyo mtafute..........
 
Siyo mama wa nyumbani, ndiy mmiliki wa The Look Salon pale Victoria (mjasiiamali wa nguvu). Ana mtoto mzuri wa kiume almost 4 month now. Ana saloni matata you wont regret kuingia na kukaribishwa na tabasamu lake. I love that girl siyo utani. Kamuungisheni jamani, dadaz wote

Kwa kuongeza anasoma chuo cha Diplomasia kurasinu
 
Mrembo Basila Mwanukuzi aliyezaliwa tarehe14/6/1978 P,pia alikuwa Miss Kinondoni na Miss Tanzania mwaka 1998 pia aliweza kuwakilisha nchi katika Mashindano ya urembo ya dunia.

Aliporejea na kumaliza mwaka mmoja wa kazi za jamii aliweza kupata ofa mbalimbali za kazi za Mitindo nchini Marekani ambapo aliishi huko kwa muda na kurejea nchini na kufanya kazi na Kampuni ya Multichoice, na baadaye kuajiriwa na Shirika la Umoja na Mataifa.

Mrembo Basila Mwanukuzi, amefanya kazi na UNDP jijini Pretoria Afrika ya Kusini, na baadaye alihamia Addiss Ababa Ethiopia , kwa sasa yupo jijini D'salaam akiendesha biashara yake binafsi ijulikanalo kama The Look Beauty Parlor [Unisex]
 
Back
Top Bottom