Yu wapi Ferouz aka alazwe kamanda??

Yu wapi Ferouz aka alazwe kamanda??

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
SDC12566.JPG

Jamaa nilibahatika kuchukua snap yake pale Sinza hivi siku hizi yu wapi simsikii kabisa kimuziki???
 
Atakuwa ameshafulia kijana. Money discpline si mchezo
 
SDC12566.JPG

Jamaa nilibahatika kuchukua snap yake pale Sinza hivi siku hizi yu wapi simsikii kabisa kimuziki???

Mkuu is this a recent picture of him au!maana nilivyomuona karibuni na hiyo picha amepungua cjui ndio kufulia!
 
Back
Top Bottom