Nidhamu yake mbovu .......ataenda SingidaniSijamuona akitambulishwa leo na wala sijasikia habari zake za usajili kama ilivyo kwa Mayele. Ameenda huyu mwamba?
Litakua kosa kubwa sana kumuacha maana hakuna kiungo mkorofi mchafuaji pale katiNidhamu yake mbovu .......ataenda Singidani
Yaan kama Djuma, Mayele na Bangala wameondoka kweli, basi hii timu itaanguka vibaya msimu huu kwasababu hawa jamaa walikua ni backbone ya timu.Na Djuma Shabani pamoja na Mayele nao hawajaonekana
Nasema hivyo kwasababu zile zilikuwa ni tetesi haikuwa taarifa rasmi
Djuma Shabani sio ishu sana ila kwa Mayele na Bangala ndio watu haswa katika msimu uliopita. Mayele sijajua ata riplesiwa na nani ambaye atakuwa sawa au zaidi ya yeye. Bangala alikuwa anafaa kwaajili ya backup ya beki au kiungo mkabaji. Ngoja tuone utakuwa ni msimu wa aina gani kwa Yanga ila kuna kazi nzito hasa kutokana na benchi jipyaYaan kama Djuma, Mayele na Bangala wameondoka kweli, basi hii timu itaanguka vibaya msimu huu kwasababu hawa jamaa walikua ni backbone ya timu.
Djuma Shabani kaenda kwao mazembeNa Djuma Shabani pamoja na Mayele nao hawajaonekana
Nasema hivyo kwasababu zile zilikuwa ni tetesi haikuwa taarifa rasmi
Kwan wao ni bahati ya yangaYaan kama Djuma, Mayele na Bangala wameondoka kweli, basi hii timu itaanguka vibaya msimu huu kwasababu hawa jamaa walikua ni backbone ya timu.
Club ilitoa taarifa?Djuma Shabani kaenda kwao mazembe
Mm niliona kwenye app ya matukio tz Kuwa amesaini mkataba paleClub ilitoa taarifa?
Hizo zilikuwa ni tetesi na uwezekano wa kuwa kweli upo.Mm niliona kwenye app ya matukio tz Kuwa amesaini mkataba pale
Sometimes uko professionalHizo zilikuwa ni tetesi na uwezekano wa kuwa kweli upo.
Ila Club haiwezi kuruhusu mashabiki wapate taarifa kupitia tetesi
Scars yupo professional huo ni ukweli,.one among the favorite katika jukwaa hili.Sometimes uko professional
[emoji3]Watatambulishwa siku ya Simba Day
Baada ya boom kinachofuata ni recession, hatuwezi kuepuka hiyo cycle kwaiyo hakuna haja ya kumuangushia jumba bovu Hersi. Hii timu msimu jana ilikua kwenye peak na msimu huu inashuka kama ilivyokua kwa Simba.Kuna mahali nimeandika kuwa kuna mambo magumu yameikabili Yanga kwa wakati mmoja, ndio maana unaona kuna baadhi ya vitu vimeyumba. Hersi anatakiwa afanye delegation ya baadhi ya majukumu, labda kama Kamati zimemsusia