Yu wapi kiungo fundi Yanick Litombo Bangala?

Yu wapi kiungo fundi Yanick Litombo Bangala?

Baada ya boom kinachofuata ni recession, hatuwezi kuepuka hiyo cycle kwaiyo hakuna haja ya kumuangushia jumba bovu Hersi. Hii timu msimu jana ilikua kwenye peak na msimu huu inashuka kama ilivyokua kwa Simba.
Sizungumzii specific area la kiwango, naangalia mambo kadhaa ya kiutawala ndio maana naona kama Hersi anajibebesha mizigo mingi
 
Yanga ilikuwepo kabla yao.....na itaendelea kuwepo imara kabisa
Jeuri hii ndo iliwaponza Simba mwaka juzi matokeo yake wamewarudisha wote. Sio rahisi kujenga timu imara kwasababu wachezaji wazuri wa kiafrika wapo wachache, na kwa idara ya ushambuliaji niliyoiona leo kilio kikuu kinakuja jangwani.
 
Baada ya boom kinachofuata ni recession, hatuwezi kuepuka hiyo cycle kwaiyo hakuna haja ya kumuangushia jumba bovu Hersi. Hii timu msimu jana ilikua kwenye peak na msimu huu inashuka kama ilivyokua kwa Simba.
Huenda ile haikuwa peak ila ndio timu inaenda kwenye peak kwa sasa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Djuma shabani na bangala walituma barua ya kuomba kuvunja mkataba walikuwa wana bip
Yanga wakasubiria wakasajili vyuma baadae wakakubaliwa
Ukizingatia bangala msimu huu alishuka kiwango amecheza mechi chache mchango wake kwa timu ulikuwa mdogo
Djuma hakuwa kma alivokuwa vita club na alikuwa anavuta mshahara mrefu million 22, huyo bila shaka ombi lake la kuvunja mkataba lisingetaliwa kwa kifupi yeye ndo alijaa

Mayele ameuza 2.8b ni biashara nzuri
 
Litakua kosa kubwa sana kumuacha maana hakuna kiungo mkorofi mchafuaji pale kati
Aucho na Zouzoua ni wastaarabu kiuchezaji hawana sifa ya utukutu pale kati ya dimba
Na ndio ambao sisi tunawataka, watu watulivu, umenkumbusha Iniesta na Xavi, walikuwa sio watu wa kuchafua ila kazi yao uwanjani imebaki historia kwa club na spain kwa ujumla. Kazi ya kuchafua ni tuwaachie akina kanoute.
 
Djuma Shabani sio ishu sana ila kwa Mayele na Bangala ndio watu haswa katika msimu uliopita. Mayele sijajua ata riplesiwa na nani ambaye atakuwa sawa au zaidi ya yeye. Bangala alikuwa anafaa kwaajili ya backup ya beki au kiungo mkabaji. Ngoja tuone utakuwa ni msimu wa aina gani kwa Yanga ila kuna kazi nzito hasa kutokana na benchi jipya
Kazi ipo kumpata mbadala wa Mayele tu, kwa kikosi hiki. Hakuna pengo la Djuma wala Bangala.
 
Yaan kama Djuma, Mayele na Bangala wameondoka kweli, basi hii timu itaanguka vibaya msimu huu kwasababu hawa jamaa walikua ni backbone ya timu.
Unasemea yanga ipo hapo nimayele ila wengine tayar walikua wanakula bench sana tu
 
Huenda ile haikuwa peak ila ndio timu inaenda kwenye peak kwa sasa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Sio huenda ndio ukweli wenyewe. Bangala, Kisinda, Moloko, kibwana, Djuma shabani, Aziz Ki wote walikuwa wanaanza na ni magalasa tu. Ile timu Nabi alitumia nguvu kubwa sana kufika ilipofika na mungu tu alikuwa upande wetu.

Kwa sasa hivi japokuwa tumecheza mechi 1 ila ubora umeonekana
 
Kuna mahali nimeandika kuwa kuna mambo magumu yameikabili Yanga kwa wakati mmoja, ndio maana unaona kuna baadhi ya vitu vimeyumba. Hersi anatakiwa afanye delegation ya baadhi ya majukumu, labda kama Kamati zimemsusia
Kweli Hersi hawaamini viongozi wenzake. Anazitumikia nafasi zote kasoro umeneja habari tu
 
Kuna mahali nimeandika kuwa kuna mambo magumu yameikabili Yanga kwa wakati mmoja, ndio maana unaona kuna baadhi ya vitu vimeyumba. Hersi anatakiwa afanye delegation ya baadhi ya majukumu, labda kama Kamati zimemsusia
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jeuri hii ndo iliwaponza Simba mwaka juzi matokeo yake wamewarudisha wote. Sio rahisi kujenga timu imara kwasababu wachezaji wazuri wa kiafrika wapo wachache, na kwa idara ya ushambuliaji niliyoiona leo kilio kikuu kinakuja jangwani.
Mwaka jana mlikua hivi hivi tukachukua vikombe vyooote tukawaachia vikombe vya chai....tukutane next season
 
Back
Top Bottom