Sizungumzii specific area la kiwango, naangalia mambo kadhaa ya kiutawala ndio maana naona kama Hersi anajibebesha mizigo mingiBaada ya boom kinachofuata ni recession, hatuwezi kuepuka hiyo cycle kwaiyo hakuna haja ya kumuangushia jumba bovu Hersi. Hii timu msimu jana ilikua kwenye peak na msimu huu inashuka kama ilivyokua kwa Simba.
Yanga ilikuwepo kabla yao.....na itaendelea kuwepo imara kabisaYaan kama Djuma, Mayele na Bangala wameondoka kweli, basi hii timu itaanguka vibaya msimu huu kwasababu hawa jamaa walikua ni backbone ya timu.
hata doumbia hakutambulishwaSijamuona akitambulishwa leo na wala sijasikia habari zake za usajili kama ilivyo kwa Mayele. Ameenda huyu mwamba?
Huyo aende tu
pumba tupu nani alikwamjia ukiwa aggressive ndo unakuwa boraLitakua kosa kubwa sana kumuacha maana hakuna kiungo mkorofi mchafuaji pale kati
Aucho na Zouzoua ni wastaarabu kiuchezaji hawana sifa ya utukutu pale kati ya dimba
Jeuri hii ndo iliwaponza Simba mwaka juzi matokeo yake wamewarudisha wote. Sio rahisi kujenga timu imara kwasababu wachezaji wazuri wa kiafrika wapo wachache, na kwa idara ya ushambuliaji niliyoiona leo kilio kikuu kinakuja jangwani.Yanga ilikuwepo kabla yao.....na itaendelea kuwepo imara kabisa
Huenda ile haikuwa peak ila ndio timu inaenda kwenye peak kwa sasa.Baada ya boom kinachofuata ni recession, hatuwezi kuepuka hiyo cycle kwaiyo hakuna haja ya kumuangushia jumba bovu Hersi. Hii timu msimu jana ilikua kwenye peak na msimu huu inashuka kama ilivyokua kwa Simba.
Na ndio ambao sisi tunawataka, watu watulivu, umenkumbusha Iniesta na Xavi, walikuwa sio watu wa kuchafua ila kazi yao uwanjani imebaki historia kwa club na spain kwa ujumla. Kazi ya kuchafua ni tuwaachie akina kanoute.Litakua kosa kubwa sana kumuacha maana hakuna kiungo mkorofi mchafuaji pale kati
Aucho na Zouzoua ni wastaarabu kiuchezaji hawana sifa ya utukutu pale kati ya dimba
Kazi ipo kumpata mbadala wa Mayele tu, kwa kikosi hiki. Hakuna pengo la Djuma wala Bangala.Djuma Shabani sio ishu sana ila kwa Mayele na Bangala ndio watu haswa katika msimu uliopita. Mayele sijajua ata riplesiwa na nani ambaye atakuwa sawa au zaidi ya yeye. Bangala alikuwa anafaa kwaajili ya backup ya beki au kiungo mkabaji. Ngoja tuone utakuwa ni msimu wa aina gani kwa Yanga ila kuna kazi nzito hasa kutokana na benchi jipya
Unasemea yanga ipo hapo nimayele ila wengine tayar walikua wanakula bench sana tuYaan kama Djuma, Mayele na Bangala wameondoka kweli, basi hii timu itaanguka vibaya msimu huu kwasababu hawa jamaa walikua ni backbone ya timu.
Sio huenda ndio ukweli wenyewe. Bangala, Kisinda, Moloko, kibwana, Djuma shabani, Aziz Ki wote walikuwa wanaanza na ni magalasa tu. Ile timu Nabi alitumia nguvu kubwa sana kufika ilipofika na mungu tu alikuwa upande wetu.Huenda ile haikuwa peak ila ndio timu inaenda kwenye peak kwa sasa.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kweli Hersi hawaamini viongozi wenzake. Anazitumikia nafasi zote kasoro umeneja habari tuKuna mahali nimeandika kuwa kuna mambo magumu yameikabili Yanga kwa wakati mmoja, ndio maana unaona kuna baadhi ya vitu vimeyumba. Hersi anatakiwa afanye delegation ya baadhi ya majukumu, labda kama Kamati zimemsusia
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mahali nimeandika kuwa kuna mambo magumu yameikabili Yanga kwa wakati mmoja, ndio maana unaona kuna baadhi ya vitu vimeyumba. Hersi anatakiwa afanye delegation ya baadhi ya majukumu, labda kama Kamati zimemsusia
Mwaka jana mlikua hivi hivi tukachukua vikombe vyooote tukawaachia vikombe vya chai....tukutane next seasonJeuri hii ndo iliwaponza Simba mwaka juzi matokeo yake wamewarudisha wote. Sio rahisi kujenga timu imara kwasababu wachezaji wazuri wa kiafrika wapo wachache, na kwa idara ya ushambuliaji niliyoiona leo kilio kikuu kinakuja jangwani.