TandaleOne
JF-Expert Member
- Sep 4, 2010
- 1,644
- 709
Mgombea mwenza wa Slaa?Sijamuona katika kampeni na sehemu mbalimbali muda kwa mrefu.Yuko wapi huyu ndugu yetu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgombea mwenza wa Slaa?Sijamuona katika kampeni na sehemu mbalimbali muda kwa mrefu.Yuko wapi huyu ndugu yetu?
Ukijua yuko wapi then whats next!...Unaanzisha thread ya kipuuzi kama hii, and you still call yourself `Ridhiwan!...shii@@!
[/COLOR]
Tatizo lenu ni kudhani mnajua kilas kitu.
mtu Kauliza mgombea mwenza CHADEMA yuko wapi,wewe eleza yupo lindi,kigoma,tanga au kwingineko basi.
kwa sababu hata mimi simjui hata kwa sura,sijawahi kumuina au kumsikia kwenye media yoyote Bongo kama wenzake,Juma Dun na Ghalib Bilal.
Sasa tutamchaguaje wazee?
punguza hasira eleza alipo,ina maana yeye hapingi kampeini, kwani niliudhuria mkutano wa Dk Slaa Geita na Mirongoi Mwanza sikumuona
YUKO WAPI,PICHA YAKE,HATUVIONI HUMU JF KUNANI
Kwani ni kosa kumuulizia huyu mgombea mwenza? Tatizo liko wapi naona wengine wamepanic hadi wanaitana wapumbavu. Duh hiyo kali...Ni vema mwenye jibu akalitoa na sio kutoa maneno ya kejeli au huyu mgombea ana tatizo? Mbona kila mchangiaji analikimbia hili swali?
Anaweza kuwa maeneo kama ratiba inavyoonyesha
[/COLOR]
Tatizo lenu ni kudhani mnajua kilas kitu.
mtu Kauliza mgombea mwenza CHADEMA yuko wapi,wewe eleza yupo lindi,kigoma,tanga au kwingineko basi.
kwa sababu hata mimi simjui hata kwa sura,sijawahi kumuina au kumsikia kwenye media yoyote Bongo kama wenzake,Juma Dun na Ghalib Bilal.
Sasa tutamchaguaje wazee?
punguza hasira eleza alipo,ina maana yeye hapingi kampeini, kwani niliudhuria mkutano wa Dk Slaa Geita na Mirongoi Mwanza sikumuona
YUKO WAPI,PICHA YAKE,HATUVIONI HUMU JF KUNANI
Jibuni swali au mumeshikwa pabaya? Yuko wapi mgombea mwenza wa chadema? Au kaingia mitini?
Mgombea mwenza wa Slaa?Sijamuona katika kampeni na sehemu mbalimbali muda kwa mrefu.Yuko wapi huyu ndugu yetu?
sio crap elezeni mgombea mwenza wenu yuko wapi?
huyu anajulikana kama running mate sasa mbona anaenda peke yake ?
ss wazanzibari tunajua wazi kuwa CHADEMA ni chama cha kibaguzi na jamaa mumhonga keshatia chake mfukoni katulia, yule jamaa mjanja
nyny hamana lolote mmefilisika kisiasa
Anaweza kuwa maeneo kama ratiba inavyoonyesha
Mtu wa Pwani,
Unajua CCM iliamua kabisa mwaka huu hakuna kampeni chafu na ndiyo maana mtaa wa pili wanajitahidi kuleta uchafuzi lakini CCM imekuwa very cool inaendesha kampeni kistaarabu kabisa. Kwenye mikutano zinazomwagwa ni sera tu na si mabomu.
Sasa basi kama tungekuwa tunataka kuwaumbua hao jamaa zetu tungewaletea mikataba ile waliyosainiana na Slaa (mkataba wa kifisadi kabisa) na pochi walilomkatia mgombea mwenza...kuna nuka rushwa,,,rushwa,,,na ufisadi kabisa.
Sasa hapo Masanilo anasema crap, kwa sababu huo ndiyo ukweli.
USHINDI NI LAZIMA
ANGUKO LA CHADEMA LIMEKARIBIA