getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,822
Kama miaka kumi au kumi na tano nyuma kuliibuka nguvu ya mziki wa Mwambao ulikuwa muziki ulio kamata soko lake barabara. Wakati huo kulikuwa na wanamuziki kama Marehemu Omary Kopa, na wengineo, ni wakati huu ambao aliibuka msanii aliyejulikana kama Babu Ayubu akiwa ametoka katika Bongo flavour akiwa ameshirikishwa na Profesor J, katika kikao cha dharura baada ya kuwa na uwezo wa kuigiza sauti kadhaa akaibukia katika taarab akimuigiza Marehemu Bi kidude, !
Nilitaraji baada ya kifo cha Bi kidude msanii huyu kuvuma zaidi na kuendelea kutendea haki taarabu akitoka na mashairi makali zaidi ya Lile la Chager ya kobe.
Lakini hasikiki tena
Je waungwana yu wapi babu Ayubu?
Sent using Jamii Forums mobile app