Yu wapi msanii Babu Ayubu?

Yu wapi msanii Babu Ayubu?

getrusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
2,150
Reaction score
1,822
Kama miaka kumi au kumi na tano nyuma kuliibuka nguvu ya mziki wa Mwambao ulikuwa muziki ulio kamata soko lake barabara. Wakati huo kulikuwa na wanamuziki kama Marehemu Omary Kopa, na wengineo, ni wakati huu ambao aliibuka msanii aliyejulikana kama Babu Ayubu akiwa ametoka katika Bongo flavour akiwa ameshirikishwa na Profesor J, katika kikao cha dharura baada ya kuwa na uwezo wa kuigiza sauti kadhaa akaibukia katika taarab akimuigiza Marehemu Bi kidude, !

Nilitaraji baada ya kifo cha Bi kidude msanii huyu kuvuma zaidi na kuendelea kutendea haki taarabu akitoka na mashairi makali zaidi ya Lile la Chager ya kobe.
Lakini hasikiki tena

Je waungwana yu wapi babu Ayubu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Mc Maarufu wa maharusi...ndiyo kazi yake kubwa kwa sasa inayomweka mjini...na yuko booked hatari..kwa week anaweza kuwa shughuli si chini ya tatu...Yuko vizuri tu anamiliki nyumba,Gari na ana familia
 
Je na yule mwanadada kiuno bila mfupa yuko wapi siku hizi?
 
Back
Top Bottom