Nakumbuka kipindi cha mwendazake,awamu ya kwanza kulikuwa na msanii aliyejulikana kama Mzalendo aliyeimba wimbo wa Nasogea Golgotta.
Nilitegemea wasanii wasimame kutetea rasilimali za taifa na hasa katika sakata linaloendelea la Mkataba katia ya DP world na Tz kuhusu bandari zetu.
Nimemkumbuka Mzalendo kipindi cha Mwendazake akitoa mashairi ya kishujaa.Tunahtaji watu kama hao kipindi hiki kuhamasisha jamii kuhusu ubovu wa huo mkataba.
Anayefaham mwamba Mzalendo alipo,amshtue basi ahamasishe jamii.