Yu wapi Msanii 'Mzalendo' aliyeimba wimbo wa Nasogea Golgotta

Yu wapi Msanii 'Mzalendo' aliyeimba wimbo wa Nasogea Golgotta

Kinaeleweka

Senior Member
Joined
Nov 10, 2014
Posts
153
Reaction score
121
Habari ndugu zangu,

Nakumbuka kipindi cha mwendazake,awamu ya kwanza kulikuwa na msanii aliyejulikana kama Mzalendo aliyeimba wimbo wa Nasogea Golgotta.

Nilitegemea wasanii wasimame kutetea rasilimali za taifa na hasa katika sakata linaloendelea la Mkataba katia ya DP world na Tz kuhusu bandari zetu.

Nimemkumbuka Mzalendo kipindi cha Mwendazake akitoa mashairi ya kishujaa.Tunahtaji watu kama hao kipindi hiki kuhamasisha jamii kuhusu ubovu wa huo mkataba.

Anayefaham mwamba Mzalendo alipo,amshtue basi ahamasishe jamii.

Ahsante

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Alikua mwamba jamaa alisubutu kipindi kile utawala wachuma
 
Back
Top Bottom