Alipopata zile tunzo,Clouds wakataka kumfanyia Kama tafrija kumpongeza,akawatukana."siwezi kufanya kazi na radio ya kise...nge",akamwagana naWalter kabla ya kupatana,wakati huo fitina zikaanza hakuna kupiga nyimbo yake,FM radio nyingi zikampotezea...ukichanganya na uvutaji bangi na mtindo wa maisha wa hovyo kijana akapotea.