Yu Wapi msanii nguli 20%?

Yu Wapi msanii nguli 20%?

image_thumb5.png
Haya jamaa wanahitaji msaada
 
Alipopata zile tunzo,Clouds wakataka kumfanyia Kama tafrija kumpongeza,akawatukana."siwezi kufanya kazi na radio ya kise...nge",akamwagana naWalter kabla ya kupatana,wakati huo fitina zikaanza hakuna kupiga nyimbo yake,FM radio nyingi zikampotezea...ukichanganya na uvutaji bangi na mtindo wa maisha wa hovyo kijana akapotea.
Alimtukana sudi kwenye u heard
Bangi mbaya sana
 
Back
Top Bottom