Naona unajitekenya na kucheka falasi weweMwanga Lutila usikariri eti kila mgeni humu hakuwa mfuatiliaji wa mijadala ya Jf.
Na si kila kuku mgeni huhitaji kamba mguuni-jiongeze!
Shukrani!Naona unajitekenya na kucheka falasi wewe
Kwa hiyo una ID tatu ?Ile ilikuwa ID yangu mkuu, nilisahau password yake!
hapana mkuu nina ID 6, ila kwa sasa zimebaki tanoKwa hiyo una ID tatu ?
Baada ya kuiacha ya Suzy Eliashapana mkuu nina ID 6, ila kwa sasa zimebaki tano
Anaweza kuwa ndie Suzy mwenyewe nini huyu?New member anamuulizia old member?
Umemjuaje au ndo umekuja kujiulizia dada?
Kanzu mpya, mwili wa zamani...ila nmecheka sana❗New member anamuulizia old member?
Umemjuaje au ndo umekuja kujiulizia dada?