Yu wapi Mwisho Mwampamba?

Watanzania wengi ni wachawi lakini hatuna vibuyu, kwahyo tukisikia taarifa zako mbaya tunafurahi kwakuwa wenye vibuyu wametusaidia
Hakika ndugu......unachokisema ni sahihi kabisa....sijapatapo kuona Mtanzania akasikia habari njema za mtu akampongeza......na hutasikia akisambaza hizo habari njema......bali akisikia habari mbaya......ndio anakuwa wa kwanza kuzisambaza na kukufedhehesha.......

Ndio maana naanza kupata picha kuwa kwanini baadhi ya watu wanaishi maisha ya kipeke yao kwa kuwa tumezungukwa na watu wenye roho mbaya na chuki kali tunaowaita marafiki na ndugu.......

Ni hatari sana.......Adili aliimba Bora niwe peke yangu....
 
Mimi ni mmoja wa watu tuliofuatilia ule msimu wa big brother almost for 12 hrs in a day, wakina Gaetano wa uganda, cherise, abby , mwisho n.k ukweli ni kwamba mwisho alipata 50 millions, akaja kuzimwaga shimoni.
 
hila zile sijui vipi,idris ndio huyu,rich sijui yuko wapi.

na ni kama wabongo tulikuwa na kismat na ile shindano.
 
Hata sijui ni kwanini waTanzania huwa tunapenda kusikia habari mbaya za watu na kufurahia kana kwamba ni jambo la kupendeza......
Ni reflection ya namna mtu mbinafsi alivyo moyoni na hisia zake juu ya maisha. Watu walioshindwa au kukwama na wanaona wamekosa namna ya kutoka huwa wanachukia kuona wengine wanafanya progress za maisha wanataka wafeli ili wajiskie vizuri.

Wanatumia ile kanuni ya wengi wape.
 
Watanzania wengi ni wachawi lakini hatuna vibuyu, kwahyo tukisikia taarifa zako mbaya tunafurahi kwakuwa wenye vibuyu wametusaidia
Mchawi sio lazima awe na tunguli au hirizi kuwa mchawi. Uchawi ni tabia
 
Hata sijui ni kwanini waTanzania huwa tunapenda kusikia habari mbaya za watu na kufurahia kana kwamba ni jambo la kupendeza......

Sio Tanzania tu, kwenye nchi yoyote watu wenye hali ngumu ya maisha (sio wote) ndio wanaofurahia wenzao kufulia.
 
Mara ya mwisho nikikinbia nae Mr Uk Marathon Km 21.1 hapa Dar, Lkn inaonekana pia kama alikuwa anarecord kipindi maana several time alikuwa anafuatwa na mpiga picha mmoja ambaye alikuwa kama directed kwa ajili ya picha za mnato na video kwa ajili ya jambo fulani.
 
Mkuu watanzania wengi wanapata faraja wengine wakianguka. Tena wanafurahi ni njia ya kuwapunguzia maumivu makali. Ni tabia mbaya tunayo. Cha kusikitisha zaidi tunarithishana hii tabia haishi na inazidi afadhali ya Jana.

Very sad
 
BBA walikuwa wabaguzi sana wao ni LETE MZUNGUUU, LETE MZUNGUU hata akiwa mzungu koko wao hilo walikuwa hawajui hapa TZ tumewahi peleka hawa wenye rangi ya mzunu kama 3 hivi, Big brother lete mzungu eh lete mzungu, mara Mwisho, mara Richard mara mwarabu koko, BBA ina mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…