Habari wadau.
Nimejaribu kukumbuka hii love triangle ya Lord eyes, Ray c, na mwisho mwampamba, na naona angalau Hawa wawili Ray c na Lord eyes wanaonekana mahali walipo.
Huyu ndugu yetu aliyeshinda mamilioni ya big brother yupo wapi jamani mwenye kujua, mwenye picha, mwenye taarifa yoyote jamani.
Ninafahamu hii love triangle ilisumbuliwa Sana na drugs, Rehema alikutana na watu wakamsaidia akina mh kikwete na wengineo, eyes yeye alibebwa Sana na Nikki wa pili pamoja na joh, kwa kuamini kipaji chake hawakutaka kipotee wakamsave kutoka kwenye Hilo shimo.
Mwisho jamani, mwisho ili angalau waliokua wanamkubali waangalie namna ya kumsaidia, Mara ya mwisho nilimwona TV e sjui iinaitwa hivyo, akiwa na kipindi kinaitwa boys sjui boys talk kitu Kama hivyo,
Jamani who knows mwisho mwampamba yupo wapi?kuna watu tunamkumbuka in good ways.