Yu wapi Tido Mhando?



Amani na upendo Brother!
 
Huyu kweli alikuwa mzalendo, Mola ampe utulivu na mustakbali mwema.
 
:wink2:Tatzo serikali imejaa wa2 wasio na upeo kimawazo wamekaa kiwizi wizi!!! Mnakumbuka uchaguz wa UWT sofia simba na Jannet Kahama walivyorushiana mangumi kisa madaraka sasa hawa hwa watampenda Tido kwell ambae aliendesha mdahalo kila kona ya nchi na kusababisha wagombea wa ccm waliozea kuandikiwa maswali na majibu kushinda kujib hoja mbele ya wananchi??? the only solution is to copy and paste that of TUNISIA!!! TANZANIA NZURI ILA IMEJAA VIONGOZI MBUMBUMBU:decision:
 
Tangu asitaafishwe aliyekuwa mkurugenzi wa TBC sijui alipo na nafasi yake amewekwa nani?kama kuna mwenye taarifa animwagie hapa jamvini.
 
Tangu alipoondoka TBC hata mambo yao hayapo mkao................
 
Wadau naomba mnijuze mwenye kufahamu yuko wapi Ndg Tiddo Mhando mzalendo aliyeipa hadhi ya juu na kuifanya TBC kupendwa na walipa kodi zao kabla ya kuvuliwa gamba?

Amerudi zake ulaya alipokuwa kabla ya kuombwa arejee kutumikia taifa?yuko kijijini kama mtanzania mwingine analima?au yupo town anasikilizia hatima yake ni ipi?
 
last week nilifanikiwa kumuona mitaa ta tcc changombe akiendesha kikao flan cha harusi
 

Muda si mrefu atarejeshwa kwenye ulaji wake.
Waliojivua gamba wataweka mambo sawa. Maana mafisadi wameambiwa wajitoe wenyewe!. Kama litawezekana!.
 
Baada ya kuondolewa vibaya pale TBC sijui nguli huyu wa fani ya utangazaji kaenda wapi? Maana hatumsikii kabisa na mjini haonekani. Au neye kisha hamia Radio Abood?
 
Baada ya kuondolewa vibaya pale TBC sijui nguli huyu wa fani ya utangazaji kaenda wapi? Maana hatumsikii kabisa na mjini haonekani. Au neye kisha hamia Radio Abood?

Mjini wapi haonekani?
 
Ni mtu safi ana makeke .Yeye siyo bidhaa kujitangaza au kujionyesha kutafuta umaarufu wa kijinga .Hivi kabla ajaja hapo TVT alikuwa wapi na hapo alipotoka kabla ajakuwepo alikuwa wapi ! .Kwahiyo yupo anapositahili
 
Baada ya kuondolewa vibaya pale TBC sijui nguli huyu wa fani ya utangazaji kaenda wapi? Maana hatumsikii kabisa na
mjini haonekani. Au neye kisha hamia Radio Abood?

chimbu chimbu nyingine bana!!
 
Msafara wa mamba na tido, makamba, na wengine kibao nao wamo.
 
Hujamtafuta tuu mtaan kwake anapoishi au hujui mitaa anayopendelea kuwepo. Yupo sana hata juzi nimekutana nae kwenye pilika pilika zangu
 
Baada ya kuondolewa vibaya pale TBC sijui nguli huyu wa fani ya utangazaji kaenda wapi? Maana hatumsikii kabisa na mjini haonekani. Au neye kisha hamia Radio Abood?

Upo mji gani haonekani? Mbona tunapiga nae vitu sana tu pale Tip top.!

Yeye ni mtendaji sio muuza sura.
 
baada ya kuondolewa vibaya pale tbc sijui nguli huyu wa fani ya utangazaji kaenda wapi? Maana hatumsikii kabisa na mjini haonekani. Au neye kisha hamia radio abood?

nazjaz una kitu zaid unachokitafuta zaidi ya hili swali,
lakin naamini kwa kuwa hapa ni jf basi utakipa tu,
ila usije tu ukakwazika moyoni mwako.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…