Yu wapi Tido Mhando?

Yu wapi Tido Mhando?

Kama hujui jambo ni bora kutoandika neno. Tunashusha heshima ya jukwaa hili.
 
Kiukweli yuko London Uingereza amepumzika akiwaza afanye nini, hakupenda kubaki Tanzania kina CCM walimuvuruga. Nafikiri atakaporudi atakuja kufungua vituo vya radio na tv.
 
Yupo sana tu labda mitaa yake hutembelei
 
Back
Top Bottom