Yu Wapi Tundu Lisu?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Dah, nimemmis sana jama hasa kwenye sakata la Kafulila, jamaa kapotea sana lakini sina shaka kwamba HAYUKO INDIA, mwenye taarifa au mawasiliano naye tafadhali mumwambie japo atutakie heri ya mwaka MPYA
 
last time i checked alikuwa jimboni kwake kwenye shughuli za maendeleo
 
Ahsante Mkuu, lazima tuwakumbuke wapiganaji wetu hawa!!!
 
Dr slaa alikuwa jamvini mida fulani na katoa mchango kwenye thread inayo muhusu shayo aliye kuwa katibu wa cdm sumbawanga ambaye kahamia ccm,atujuze
 
jana nlimwona mitaa ya namanga shoping center mitaa ya msasani na familia wakifanya shoping
 
Subiria maandamano utamsikia.
 
mimi binafsi namtakia Tundu lisu heri ya mwaka mpya. Aendelee kuwa IMARA ili tuwatoe watu waliosinzia madarakani
 
Yuko ikungi anasherekea x-mass na mwaka mpya!happy new year Lissu+your family
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…