Yu wapi Z Anto?

Yu wapi Z Anto?

roselyn2

Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
86
Reaction score
388
Leo nimewaza mbali jamani, nimekumbuka mengi, nimeumiss udogo wangu, kweli maisha ni safari [emoji17][emoji17]
Nyimbo za bongo za zamani zinanikumbusha mbali sana, nakumbuka kipindi familia yetu ilipokuwa inaishi pamoja tena kwa amani kabla ya shetani kuingilia kati [emoji3064][emoji3064]

Hasa nikisikiliza nyimbo za Z Anto
1. Binti kiziwi
2. Mpenzi jini
3.Kisiwa cha malavidavi

Alikuwa anaimba mashairi ambayo kila mwanamke anatamani hayo maneno awe anatamkiwa na mpenzi wake, sema bahati kama hizo hatuna, tunaishia kunyenyekea tusikothaminiwa [emoji24][emoji24]

Jomon [emoji3064] Hivi yu wapi? Angeendeleza muziki tu, mbona alikuwa anaimba vizuri tu, wenda angekuwa level moja na diamond [emoji849][emoji849]

274824935_974993896453457_207273597039106578_n.jpg
 
Sijui yuko wapi huyu mkali ni kama vile alizinguana na management yake wakampoteza mazima.
 
Back
Top Bottom