Mfilisiti
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 396
- 1,958
Amani ya Bwana na iwe nanyi nyote,
Wakuu tukiwa katika kipindi hiki cha sikukuu ya Pasaka kuna kitu kimenitafakarisha kuhusu Yuda Iskariote kumsaliti Yesu,
Naomba wabobezi wa maandiko mnijibu haya maswali:
1: (a)Je, wakuuu wa makuhani na Mafarisayo sura ya Yesu walikua hawaijui? hadi kumtumia Yuda Iskariote kama Msaliti?
(b) Na kama walikua wanamjua Yesu kulikua kuna ulazima gani kumpa fedha Yuda Iskariote?
(c) Yuda Iskariote yupo mbinguni au Kuzimu? na kama yupo kuzimu je kusudi la yeye kuumbwa si lilikua ni aje kumsaliti Yesu ili mapenzi ya Mungu yatimizwe? na kama mapenzi ya Mungu yametimizwa kwanini asiende mbinguni?
(d) Kwa hiyo maisha ya mwanadamu hapa duniani tayari yamepangwa kuwa wewe ni wa motoni au mbinguni?