Magulumelafulu
JF-Expert Member
- Jul 8, 2021
- 495
- 602
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro Sisi ni roho zilizokuwapo kabla ya kuja kwenye mwili. Na usisahau shetan alivyomjia Hawa pale bustanini na kuongea nae. Ziliingia roho mbili ndan yake. So hii dunia ina pande mbili. Upande wa giza na nuru. Kuna watu wamebeba roho ya kaini mpaka leo na kuna watu wamebeba roho ya abeli. Ndio maana bible inawaita hawa ni wateule na wengine wana wa uovu. Na kwataarifa yako kila roho inajua eneo lake ndio maana Yesu alikuwa anawaambia timizen kipimo cha Baba zenu. Ukiona mtu ni jambaz ni mchawi na mdhulumaji japo unaongea nae kila siku na hajali anaendelea na uovu wake na kufa nao ujue anatimiza kipimo cha baba yao. Lakin akitubu na kuacha kabisa ujue ile roho ya uzima ndio imemfungua na ndio wakat wake kurud mahali pake. Hiz Mambo kuzijua inabid usome vitabu sana na umuombe Mungu sana kuna siri nyingi sana bado hatuzijui na inawezekana tusizijue milele. Kwa mfano ni kitabu cha ufunuo kinatuambia mbinguni kuna wazee wenye mavaz meupe au kuna wenye uhai wanne. Hizo Mambo binadamu hatukuzifunuliwa kuzijua b4. So Mungu anawafungulia awapendae kwa jins atakavyo yeye.Amani ya Bwana na iwe nanyi nyote,
Wakuu tukiwa katika kipindi hiki cha sikukuu ya Pasaka kuna kitu kimenitafakarisha kuhusu Yuda Iskariote kumsaliti Yesu,
Naomba wabobezi wa maandiko mnijibu haya maswali:
1: (a)Je, wakuuu wa makuhani na Mafarisayo sura ya Yesu walikua hawaijui? hadi kumtumia Yuda Iskariote kama Msaliti?
(b) Na kama walikua wanamjua Yesu kulikua kuna ulazima gani kumpa fedha Yuda Iskariote?
(c) Yuda Iskariote yupo mbinguni au Kuzimu? na kama yupo kuzimu je kusudi la yeye kuumbwa si lilikua ni aje kumsaliti Yesu ili mapenzi ya Mungu yatimizwe? na kama mapenzi ya Mungu yametimizwa kwanini asiende mbinguni?
(d) Kwa hiyo maisha ya mwanadamu hapa duniani tayari yamepangwa kuwa wewe ni wa motoni au mbinguni?
Yule wa uarabuni vipi yupo?Maandiko hayo ya biblia ni hadithi za kutungwa na kusadikika ndio maana unaona Contradictions kwenye Biblia hiyo.
Habari za uwepo wa Yesu ni stori za kusadikika sawa na Hekaya za Abunuwasi.
Yesu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Hata huyo Muhammad hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.Yule wa uarabuni vipi yupo?